Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Joined
Jan 6, 2022
Posts
56
Reaction score
336
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen kuishambulia ISRAEL apo kesho usiku.

Na katika hatua nyingine Hali ya hatari na tahadhari zimeqnza kutolewa Huko nchini Israel na wananchi wameanza kutangaziwa Hali ya hatari, Watu wanasubiria kuona Iran atafanyq mashambulizi Gani,

Israel hivi Sasa huenda ikapigwa pande nne yaani, Palestine kupitoa hamas, Lebanon kupitia Hezbollah, na Yemen na Syria kupitia wanamgambowa houthi.

Source: Iran and Hezbollah attack on Israel imminent, Blinken tells G7: Report

====

US Secretary of State Antony Blinken has warned that Iran and Hezbollah may attack Israel within the next 24 to 48 hours.

The unconfirmed report from US publication Axios was released on Monday, as fears grew of a regional war in the Middle East. Iran and Hezbollah have pledged to retaliate for the killing of the top leaders of Hamas and Hezbollah last week.

Quoting three unnamed sources, Axios reports that Blinken told G7 counterparts in a conference call that Iran and Hezbollah could launch an attack against Israel as early as Monday.

“The sources said Blinken stressed that the US believes Iran and Hezbollah will both retaliate,” Axios wrote, adding that Washington “doesn’t know the exact timing of the attacks” or what form they would take.

Blinken told his G7 counterpart that the United States hopes to halt the escalation by persuading Iran and Hezbollah to limit their attacks and restrain any Israeli response. He asked the other foreign ministers to join that push by applying diplomatic pressure on the trio.

The G7, which also includes Canada, France, Germany, Italy, Japan and the United Kingdom, issued a statement on Monday expressing “deep concern over the heightened level of tension in the Middle East”, and called for restraint on all sides, insisting that “no country or nation stands to gain from a further escalation”.

High risk​

Immediately following the assassination of Hamas leader Ismail Haniyeh on July 31, the US sent additional military forces to the Middle East in anticipation of retaliatory attacks. It insists that the deployment is “defensive”.
 
Screenshot_20240807-032217_Chrome.jpg
 
Iran IMESEMA kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 YAJAYO, Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen KUISHAMBULIA ISRAEL apo kesho usiku,
Na katika hatua nyingine Hali ya hatari na tahadhari zimeqnza kutolewa Huko nchini Israel na wananchi wameanza kutangaziwa Hali ya hatari,
Watu wanasubiria kuona Iran atafanyq mashambulizi Gani,
Israel hivi Sasa huenda ikapigwa pande nne yaani, Palestine kupitoa hamas, Lebanon kupitia Hezbollah, na Yemen na Syria kupitia wanamgambowa houthi

Source by aljazeera,
Sasa kwa nini wanatangaza [kama ni kweli wamesema hivyo]?

Yaani unamtangazia ‘adui’ wako kwamba kesho nitakushambulia 🤣.

Stupid is as stupid does.
 
Iran IMESEMA kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 YAJAYO, Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen KUISHAMBULIA ISRAEL apo kesho usiku,
Na katika hatua nyingine Hali ya hatari na tahadhari zimeqnza kutolewa Huko nchini Israel na wananchi wameanza kutangaziwa Hali ya hatari,
Watu wanasubiria kuona Iran atafanyq mashambulizi Gani,
Israel hivi Sasa huenda ikapigwa pande nne yaani, Palestine kupitoa hamas, Lebanon kupitia Hezbollah, na Yemen na Syria kupitia wanamgambowa houthi

Source by aljazeera,

Tunaochoka ni sisi, wao washambulie tuu. Au ndio mashambuliz kam yale ya mwez uliopita ya kurusha rusha tu drones hata kilichoendelea hatujui mpka sasa.
 
Hana uwezo huo mnampa sana kichwa huyo Iran, JDAM na marines wako Gulf wanasubiri order tuu , this time ni kuchimbua kuibadilisha vumbi na kumaliza kabisa ile nuclear program inayosemekana iko chini ya ardhi, hii ni opportunity mnyamwezi alikuwa akiisubiri Kwa miaka mingi sana, target ni Moja tuu na hakuna hata haja ya kuharibu mabomu kupiga viwanda vyako vya silaha
 
Iran IMESEMA kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 YAJAYO, Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen KUISHAMBULIA ISRAEL apo kesho usiku,
Na katika hatua nyingine Hali ya hatari na tahadhari zimeqnza kutolewa Huko nchini Israel na wananchi wameanza kutangaziwa Hali ya hatari,
Watu wanasubiria kuona Iran atafanyq mashambulizi Gani,
Israel hivi Sasa huenda ikapigwa pande nne yaani, Palestine kupitoa hamas, Lebanon kupitia Hezbollah, na Yemen na Syria kupitia wanamgambowa houthi

Source: Iran and Hezbollah attack on Israel imminent, Blinken tells G7: Report

====

US Secretary of State Antony Blinken has warned that Iran and Hezbollah may attack Israel within the next 24 to 48 hours.

The unconfirmed report from US publication Axios was released on Monday, as fears grew of a regional war in the Middle East. Iran and Hezbollah have pledged to retaliate for the killing of the top leaders of Hamas and Hezbollah last week.

Quoting three unnamed sources, Axios reports that Blinken told G7 counterparts in a conference call that Iran and Hezbollah could launch an attack against Israel as early as Monday.

“The sources said Blinken stressed that the US believes Iran and Hezbollah will both retaliate,” Axios wrote, adding that Washington “doesn’t know the exact timing of the attacks” or what form they would take.

Blinken told his G7 counterpart that the United States hopes to halt the escalation by persuading Iran and Hezbollah to limit their attacks and restrain any Israeli response. He asked the other foreign ministers to join that push by applying diplomatic pressure on the trio.

The G7, which also includes Canada, France, Germany, Italy, Japan and the United Kingdom, issued a statement on Monday expressing “deep concern over the heightened level of tension in the Middle East”, and called for restraint on all sides, insisting that “no country or nation stands to gain from a further escalation”.

High risk​

Immediately following the assassination of Hamas leader Ismail Haniyeh on July 31, the US sent additional military forces to the Middle East in anticipation of retaliatory attacks. It insists that the deployment is “defensive”.
iran hana nia ya vita na israel yani anachofanya ni kuweka show tu. angekuwa na nia na vita wala asingekuwa anatoa taarifa. we katoa hadi muda ili israel na washirika wake wajiandae kuyatungua hayo mambomu yasilete impact na kupelekea vita kamili. israel wakati akitaka kushambuliwa hakupi hata taarifa.
 
Back
Top Bottom