Mi hii issue siilewi kidogo. Hivi kama Israel alishirikiana na wa Iran wasaliti wakatega bomu ndani ya jengo miezi miwili kabla ya Haniyeh kuingia mule inakuwaje leo Iran aishambulie Israel badala ya kudeal na raia wake walioamua kuisaliti nchi yao? Kwakweli kwa lile tukio la kwanza Israel kuushambulia ubalozi wa Iran niliona kabisa Iran ana haki ya kulipiza ila kwa hili la wa Iran baadhi kushirikiana na Israel kuihujumu nchi yao naona kabisa Iran hapaswi kulipiza chochote, ye a deal na uzalendo wa wananchi wao.