Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Vita ya Iran vs Israel ni vita ambayo mataifa mengine pia yanapigana hapo...Urusi,China,USA siraha zinazotumika ni za kutoka mataifa hayo ngoja niangalie news hapa naona Sudan kusini njaa imetamaraki tu...
 
haha Europe na America, Jordan. UAE na Saud Arabia wanamsaidia israel taifa njaa la Paulo bila kusaidiwa haliwezi hata kupigana na Congo.
Sasa shangaa Israel hata hajawaomba msaada wowote ni wenyewe tu ndio wanaona kwamba Israel anachokozwa na Iran na magaidi wake.
 
Ila hatari sana hii kama Israel ana watu mpaka kwenye system nyingi za Iran maana yake hata ilipo mitambo ya nyuklia na kuifikia basi hesabu imeshapigwa mapema sana,
Kwa mtazamo wangu hapa nikiwa kama mchambuzi mahiri wa ngongwe online tv naona wazi kabisa Yahudi huu mchezo aliutaka kwa makusudi kabisa,

Alichokua anasubiri ni mtu ajae tu kwenye mfumo.
 
𝒀𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒗𝒂𝒂 𝒗𝒊𝒑𝒆𝒅𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒃𝒖 𝒎𝒍𝒆𝒕𝒂 𝒎𝒂𝒅𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒋𝒆 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒌𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑰𝒓𝒂𝒏 𝒂𝒖 𝑩𝒍𝒊𝒏𝒌𝒆𝒏
 
Yaani wavaa vipedo Hadi waungane , SI waje mmoja mmoja ili watolewe bikira waende aje mwingine Hadi waishe wote.
Ww kweli hauna kwani huyo Israel anapgana na hamas yupo peke yake?anapigana na wanamgambo hawna kifaru Wala drone na yy Israel anasaidiwa na nchi zote za ulaya na huu ni mwezi 9 hakuna hata lengo moja alilotimiza zaidi ya kubomoa mashule na hospitals tu
 
US says seeking to limit attacks and response, urges G7 allies to use diplomatic pressure to try to avert regional war.

Marekani na washirika wake wanatapatapa tu. Iran ataishambulia Israel kwa wakati wake ambao anaona ni sawa.

Wanawapangia Iran…
 
Huo ni upumbavu. Siyo kujiamini.

Mtu aliye na nia ya kuleta madhara hawezi akamtangazia hasimu wake kwamba siku fulani nitakushambulia.
Iran hakuna alichotangaza Hila Iran ameweza kudhibiti intelligence ya West kujua kinachoendelea ndio maana Kila siku wanataja masaa ya shambulio halafu masaa yanapita walisema 72hrs,ikaja 48hrs kwakifupi hawana taarifa
 
US says seeking to limit attacks and response, urges G7 allies to use diplomatic pressure to try to avert regional war.

Marekani na washirika wake wanatapatapa tu. Iran ataishambulia Israel kwa wakati wake ambao anaona ni sawa.

Wanawapangia Iran…
Wanahangaika kutabili mara baada 72hrs ikaja 48hrs zote hola
 
Iran IMESEMA kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 YAJAYO, Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen KUISHAMBULIA ISRAEL apo kesho usiku,
Na katika hatua nyingine Hali ya hatari na tahadhari zimeqnza kutolewa Huko nchini Israel na wananchi wameanza kutangaziwa Hali ya hatari,
Watu wanasubiria kuona Iran atafanyq mashambulizi Gani,
Israel hivi Sasa huenda ikapigwa pande nne yaani, Palestine kupitoa hamas, Lebanon kupitia Hezbollah, na Yemen na Syria kupitia wanamgambowa houthi

Source: Iran and Hezbollah attack on Israel imminent, Blinken tells G7: Report

====

US Secretary of State Antony Blinken has warned that Iran and Hezbollah may attack Israel within the next 24 to 48 hours.

The unconfirmed report from US publication Axios was released on Monday, as fears grew of a regional war in the Middle East. Iran and Hezbollah have pledged to retaliate for the killing of the top leaders of Hamas and Hezbollah last week.

Quoting three unnamed sources, Axios reports that Blinken told G7 counterparts in a conference call that Iran and Hezbollah could launch an attack against Israel as early as Monday.

“The sources said Blinken stressed that the US believes Iran and Hezbollah will both retaliate,” Axios wrote, adding that Washington “doesn’t know the exact timing of the attacks” or what form they would take.

Blinken told his G7 counterpart that the United States hopes to halt the escalation by persuading Iran and Hezbollah to limit their attacks and restrain any Israeli response. He asked the other foreign ministers to join that push by applying diplomatic pressure on the trio.

The G7, which also includes Canada, France, Germany, Italy, Japan and the United Kingdom, issued a statement on Monday expressing “deep concern over the heightened level of tension in the Middle East”, and called for restraint on all sides, insisting that “no country or nation stands to gain from a further escalation”.

High risk​

Immediately following the assassination of Hamas leader Ismail Haniyeh on July 31, the US sent additional military forces to the Middle East in anticipation of retaliatory attacks. It insists that the deployment is “defensive”.
Yale 72 hayajaisha tu?
 
Sasa shangaa Israel hata hajawaomba msaada wowote ni wenyewe tu ndio wanaona kwamba Israel anachokozwa na Iran na magaidi wake.
Hivi dogo we uko dunia ya wapi hi tunayo ishi sisi, Israel alikuwa analia mwezi ulio pita hana silaha US ili ampe, Juzi walikuwa wanaomba nchi za kiarabu zimsaidie si ndio nakuambia wewe labda funza wale wako chini ya milima ya sekenke. Tazama hata gazeti lao linaongelea vipi America na badhi ya nchi za warabu wanaomba Iran asimpige Israel.

 
Yale 72 hayajaisha tu?
Iran anamuadhibu Israel na America, UK, France, Germany, Australia na nchi za kiarabu Saud Arabia, UAE, Jordan sababu ndege zao za kivita zinapoteza mabilioni ya pesa. Kuzingojea ili kuziangusha drones za Iran na Missiles. Hio peke yake ni pigo kubwa sana mpaa America kisha changanyikiwa, anasema hatuji na hatuna infomation ndani ya Iran kitu gani kinaendelea. Mwisho hizo ndege zao zitakuja kujigonga wanatafuta drones na missiles weee kwenye Air spaces za Saudia na Jordan hawazioni 😄

Iran atawashutikizia paa vitu vina land Tela Aviv na Haifa, Iran safari hi anamdhalilisha US, si US alikuwa anajidai anaona dunia nzima mbona hajui lolote ndani ya Iran mpaa mda huu.
 
Back
Top Bottom