Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

Vita ya Iran vs Israel ni vita ambayo mataifa mengine pia yanapigana hapo...Urusi,China,USA siraha zinazotumika ni za kutoka mataifa hayo ngoja niangalie news hapa naona Sudan kusini njaa imetamaraki tu...
 
haha Europe na America, Jordan. UAE na Saud Arabia wanamsaidia israel taifa njaa la Paulo bila kusaidiwa haliwezi hata kupigana na Congo.
Sasa shangaa Israel hata hajawaomba msaada wowote ni wenyewe tu ndio wanaona kwamba Israel anachokozwa na Iran na magaidi wake.
 
Ila hatari sana hii kama Israel ana watu mpaka kwenye system nyingi za Iran maana yake hata ilipo mitambo ya nyuklia na kuifikia basi hesabu imeshapigwa mapema sana,
Kwa mtazamo wangu hapa nikiwa kama mchambuzi mahiri wa ngongwe online tv naona wazi kabisa Yahudi huu mchezo aliutaka kwa makusudi kabisa,

Alichokua anasubiri ni mtu ajae tu kwenye mfumo.
 
𝒀𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒗𝒂𝒂 𝒗𝒊𝒑𝒆𝒅𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒃𝒖 𝒎𝒍𝒆𝒕𝒂 𝒎𝒂𝒅𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒐 𝒋𝒆 𝒉𝒂𝒚𝒐 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒌𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑰𝒓𝒂𝒏 𝒂𝒖 𝑩𝒍𝒊𝒏𝒌𝒆𝒏
 
Yaani wavaa vipedo Hadi waungane , SI waje mmoja mmoja ili watolewe bikira waende aje mwingine Hadi waishe wote.
Ww kweli hauna kwani huyo Israel anapgana na hamas yupo peke yake?anapigana na wanamgambo hawna kifaru Wala drone na yy Israel anasaidiwa na nchi zote za ulaya na huu ni mwezi 9 hakuna hata lengo moja alilotimiza zaidi ya kubomoa mashule na hospitals tu
 
US says seeking to limit attacks and response, urges G7 allies to use diplomatic pressure to try to avert regional war.

Marekani na washirika wake wanatapatapa tu. Iran ataishambulia Israel kwa wakati wake ambao anaona ni sawa.

Wanawapangia Iran…
 
Huo ni upumbavu. Siyo kujiamini.

Mtu aliye na nia ya kuleta madhara hawezi akamtangazia hasimu wake kwamba siku fulani nitakushambulia.
Iran hakuna alichotangaza Hila Iran ameweza kudhibiti intelligence ya West kujua kinachoendelea ndio maana Kila siku wanataja masaa ya shambulio halafu masaa yanapita walisema 72hrs,ikaja 48hrs kwakifupi hawana taarifa
 
Wanahangaika kutabili mara baada 72hrs ikaja 48hrs zote hola
 
Yale 72 hayajaisha tu?
 
Sasa shangaa Israel hata hajawaomba msaada wowote ni wenyewe tu ndio wanaona kwamba Israel anachokozwa na Iran na magaidi wake.
Hivi dogo we uko dunia ya wapi hi tunayo ishi sisi, Israel alikuwa analia mwezi ulio pita hana silaha US ili ampe, Juzi walikuwa wanaomba nchi za kiarabu zimsaidie si ndio nakuambia wewe labda funza wale wako chini ya milima ya sekenke. Tazama hata gazeti lao linaongelea vipi America na badhi ya nchi za warabu wanaomba Iran asimpige Israel.

 
Yale 72 hayajaisha tu?
Iran anamuadhibu Israel na America, UK, France, Germany, Australia na nchi za kiarabu Saud Arabia, UAE, Jordan sababu ndege zao za kivita zinapoteza mabilioni ya pesa. Kuzingojea ili kuziangusha drones za Iran na Missiles. Hio peke yake ni pigo kubwa sana mpaa America kisha changanyikiwa, anasema hatuji na hatuna infomation ndani ya Iran kitu gani kinaendelea. Mwisho hizo ndege zao zitakuja kujigonga wanatafuta drones na missiles weee kwenye Air spaces za Saudia na Jordan hawazioni 😄

Iran atawashutikizia paa vitu vina land Tela Aviv na Haifa, Iran safari hi anamdhalilisha US, si US alikuwa anajidai anaona dunia nzima mbona hajui lolote ndani ya Iran mpaa mda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…