Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi si ndio kila siku nawambia nchi inayo jiita israel ni shoga tu, lazima akusanye warabu wamlinde Jordan, UAE, Saud Arabia. Egypt, Morocco na Western na America hilo taifa la kishoga halina chochote zaidi ya maneno ya kanga 😄Mwanaume mmoja anashambuliwa na madada 5
Nyie vijana mlioshupalia tamaduni za kigeni mna shida sana. Unajua kwamba mkakati wa Israel kuwaangamiza magaidi na mfadhili wao Iran uko palepale na Israel hajutii kuwaangamiza akina Haniyeh.Hivi dogo we uko dunia ya wapi hi tunayo ishi sisi, Israel alikuwa analia mwezi ulio pita hana silaha US ili ampe, Juzi walikuwa wanaomba nchi za kiarabu zimsaidie si ndio nakuambia wewe labda funza wale wako chini ya milima ya sekenke. Tazama hata gazeti lao linaongelea vipi America na badhi ya nchi za warabu wanaomba Iran asimpige Israel.
Hadi Russia wanamhurumia Israel, ndio maana hata Iran wenyewe wanasita. Watetezi ni wengi mno.
Vitu vinakuja hakuna huruma lazima tumtie adabu huyo monster wa Tela AvivHadi Russia wanamhurumia Israel, ndio maana hata Iran wenyewe wanasita. Watetezi ni wengi mno.
Iran hataki vita gani wakati anaichokoza israel kupitia magenge ya kigaidi kama hamas , hezbollah, houthNi kwa sababu Iran hawataki vita ni chokochoko za myahud zinamsumbua.
Wakat wa vita wanaona bado.
Huyo iran hana lolote ni mikwara mbuzi tu kama mtu anakuja nyumbani kwako na anamgonga mkewe makofi umeshindwa kuzuia unabaki viapo tuUS says seeking to limit attacks and response, urges G7 allies to use diplomatic pressure to try to avert regional war.
Marekani na washirika wake wanatapatapa tu. Iran ataishambulia Israel kwa wakati wake ambao anaona ni sawa.
Wanawapangia Iran…
Watabiri wetu wanatuangusha sana!Imekuwa kesho tena
Wewe upo Katavi unaweza kuongea lolote angalia Waisrael wanakimbia.Huyo iran hana lolote ni mikwara mbuzi tu kama mtu anakuja nyumbani kwako na anamgonga mkewe makofi umeshindwa kuzuia unabaki viapo tu
LGBTQ+ mkiungana hamjioni😀Yaani wavaa vipedo Hadi waungane , SI waje mmoja mmoja ili watolewe bikira waende aje mwingine Hadi waishe wote.
Naona wachangiaji wengi wamemiss hiyo point!Ni Blinken kasema sio IranSasa Iran wamesema au ni BLINKEN amesema?
Vita ni gharama, unagharimu maisha na mali za wananchi kwa sababu ya mtu mmoja. Ndio maana viongozi wanatakiwa watumie busara sana na kuwa wavumilivuNi kwa sababu Iran hawataki vita ni chokochoko za myahud zinamsumbua.
Wakat wa vita wanaona bado.
Umesikika katibu wa LGBTQ+ kanda ya maziwa makuuJihadists mjifurahishe tu lkn mjue kwamba magaidi wataendelea tu kuuliwa pamoja na mfadhili wao Iran na watawala wao.
Israel angekuwa anaogopa asingekuwa anawapeleka magaidi kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
Watabiri hewa tu hawa 😂Watabiri wetu wanatuangusha sana!
Umemsahu Bikira Maria wafike 73Jihadists mjifurahishe tu lkn mjue kwamba magaidi wataendelea tu kuuliwa pamoja na mfadhili wao Iran na watawala wao.
Israel angekuwa anaogopa asingekuwa anawapeleka magaidi kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai.
Porojo hizo hamna bomu lilotegwa ndani.Mi hii issue siilewi kidogo. Hivi kama Israel alishirikiana na wa Iran wasaliti wakatega bomu ndani ya jengo miezi miwili kabla ya Haniyeh kuingia mule inakuwaje leo Iran aishambulie Israel badala ya kudeal na raia wake walioamua kuisaliti nchi yao? Kwakweli kwa lile tukio la kwanza Israel kuushambulia ubalozi wa Iran niliona kabisa Iran ana haki ya kulipiza ila kwa hili la wa Iran baadhi kushirikiana na Israel kuihujumu nchi yao naona kabisa Iran hapaswi kulipiza chochote, ye a deal na uzalendo wa wananchi wao.
Vita ya maneno hiyo haina vitendo. Lengo ni kuweka presha kwa raia wako waanze kukuchukia.Sasa kwa nini wanatangaza [kama ni kweli wamesema hivyo]?
Yaani unamtangazia ‘adui’ wako kwamba kesho nitakushambulia 🤣.
Stupid is as stupid does.
Sawa mke wetuLGBTQ+ mkiungana hamjioni😀