Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA).
“Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni na mpiganaji wa dini, Kiongozi Mkuu, Grand Ayatollah Sayyid Ali al-Husseini al-Khamenei, ambaye tunamchukulia kuwa miongoni mwa kizazi cha Mtume. Tukio hili limetokana na shambulio la wazi na kitendo cha kulaaniwa kinachokiuka maadili ya kibinadamu na kanuni zote za kimaadili, pamoja na kukiuka wazi sheria na mikataba ya kimataifa,” amesema msemaji wa serikali, Bassem Al-Awadi.
==========
“With great sadness and sorrow, we offer our condolences to the honorable Iranian people and the entire Islamic nation on the martyrdom of the scholar and mujahid, the Supreme Leader, His Eminence Grand Ayatollah Sayyid Ali al-Husseini al-Khamenei, whom we consider to be among the first of the family of the Prophet, as a result of a blatant aggression and a reprehensible act that violates all human and moral norms, and in clear violation of international laws and conventions,” said government spokesperson Bassem Al-Awadi in remarks carried by INA.
Source: Aljazeera
“Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni na mpiganaji wa dini, Kiongozi Mkuu, Grand Ayatollah Sayyid Ali al-Husseini al-Khamenei, ambaye tunamchukulia kuwa miongoni mwa kizazi cha Mtume. Tukio hili limetokana na shambulio la wazi na kitendo cha kulaaniwa kinachokiuka maadili ya kibinadamu na kanuni zote za kimaadili, pamoja na kukiuka wazi sheria na mikataba ya kimataifa,” amesema msemaji wa serikali, Bassem Al-Awadi.
==========
Iraq announces three days of mourning
Iraq’s government has announced three days period of public mourning over Khamenei’s killing“With great sadness and sorrow, we offer our condolences to the honorable Iranian people and the entire Islamic nation on the martyrdom of the scholar and mujahid, the Supreme Leader, His Eminence Grand Ayatollah Sayyid Ali al-Husseini al-Khamenei, whom we consider to be among the first of the family of the Prophet, as a result of a blatant aggression and a reprehensible act that violates all human and moral norms, and in clear violation of international laws and conventions,” said government spokesperson Bassem Al-Awadi in remarks carried by INA.
Source: Aljazeera