Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Nani kakwambia story za mtaani izo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINGEKUA mshauri wa Wizara ya ulinzi na majeshi ya Iran ningewashauri wasihangaike na marekani sijui washington au Newyork, watumia technique hyohyo. Yeyote anaekubali marekani aitumie ardhi yake kuishambulia Iran basi achakazwe mpaka akome. Hivyo visima vya mafûta vya saudia vipigwe mabomu ya kutosha! profesawaaganojipya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pro US walisema Iran hawezi ku retaliate lakini amefanya hivyo ndani ya muda mfupi tena huku vikosi vya Marekani kote duniani hususan Iraq vikiwa kwenye high alert.Iran sio wakumbeza ana nguvu kubwa kijeshi na kiteknolojia
Sio kwamba aliachiwa apige aharib ili wapate sabab zaid ya kumtandika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama yule shabiki wa Simba alitoka Mbeya kwenda Dar kwa miguu kuangalia Mechi ya simba na UD Songo wewe utashindwa kutoka Buzaa mpaka Tandale tu hapo?? Kama mashabiki wa Yanga wametoka kwa baiskeli Mtwara mpaka Dar kuja kuangalia mechi ya simba na Yanga wewe utashindwa kutoka na baiskeli Mbezi mpaka Ubungo?? chq msingi chakula kwanza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nyie shangilieni tu. Subirini mafuta ya gari yakosekane ndo mtakapoisoma number. Mjue middle east ndo energy ya dunia nzima upande wa Oil ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii huku TEMEKE tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA KIBOKO KITAMPATA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
Daah vita rasmi sasa, trump atazungumza na press asubuhi hii, nafikiri anatangaza vita, Mungu haepushe mbali hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yajayo yanafurahisha Quatar,Saudi Arabia,UAE wajiandae kisaikolojia.

Dubai itarudi kua jangwa kwa mabomu itakayopigwa.
dodge
 
Hana lakufanya anajua moto wa Iran.Halafu kwenye maneno yako unasema "Kama Israel atahusika kwa namna yoyote ile,hamna haha ya kumuomba Mungu" Kwa maana hiyo Israel ni mkubwa kuliko Mungu?
Kama Israel atahusika kwa namna yoyote ile, hamna haja ya kumuomba Mungu. Msimamo wake unaeleweka.
 
Beira Boy,
Mpak sasa graph inasoma Us 50 Iran 0 , Kwanza Kwa status ya Yule Mkuu wa majeshi aliyeuawa Iran inatakiwa iue mtu wa status hyo hyo toka marekan , ikishindikana aue Us soldiers 50K ndo thaman ya Yule Mkuu wa majeshi , cha kushangaza kashambulia Iraq tena kapiga offtarget, matokeo ya kukurupuka na mihemko na hii ni Kwa sababu watu wa Iran shule hamna ni weupe tuu kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…