Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Naunga mkono hoja.

Walokole wanajifanya ndo wanajimu wakuu wa duniA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: RTI
Kumbuka marekani pia kuna baadhi ya nchi za kiarabu ambazo yuko na urafik nazo kama Emirates, Iraq,misri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Askari 30 wakati hakuna hata mmoja aliyekufa makombora yote yametua pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump anasema bado wanafanya tathmini ya hasara wewe unasema mabomu yameanguka pembeni! Ebu tufafanulie, uko Pentagon command and control centre ama Kilimatinde?( jokes)
 
Huyo Iran zamani ilikuwa ni mikwala tu,siku hizi teknolojia imekuwa,wameshamchunguza wamegundua kuwa hana kitu,wanasubiri tu alianzishe wamfumue...
 
Acha fix mkuu vyombo vyote vya habar duniani havijasema kama kuna vifo wewe unasema kuna vifo vya askar 30 duh....
Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,

Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashaur kuwa kama nchi haina uwezo wa kuipiga marekan direct pale newyork au Washington tokea nchin kwake , hyo nchi iachane na vita dhidi ya USA , Ila kama uwezo upo bas wazichape....
Na nchi hiyo ni Russia pekee anayeweza kufanya hivyo duniani, hao waarabu wataandika historia ya kitakachowapata kwa machozi na damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…