SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...
Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,
Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.
Hesabu hazidanganyi.
Yesu karibu anarudi
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...
Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,
Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.
Hesabu hazidanganyi.
Mambo yote haya unayoyaona Hapa Duniani, yanatokea sababu yameandikwa ndani ya Misingi ya Maandiko matakatifu..wala hayatokei kama Miujiza au kwa mipango yawatu, watu wanasaidia tu kukamilikwa kwao km yalivyoandika.Tutolee upuuzi wako wa kisabato
Trump hana uhakika wa kushinda, kwaivo yeye ili aendelee kukaa madarakani, anategemea hii Vita..2020 na Uchaguzi.
2020 imeanza na Makombora.
Yetu ni Macho na Masikio.
Ila hali si salama ingawa tunachukulia kama ni jambo jepesi
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani, Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea, tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app