Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hilo nalikumbuka, we unalikumbuka hili?
FB_IMG_15784683489259646.jpeg


It's Scars
 
Yaani Mimi Iran nilipoona amepandisha bendera nyekundu nilijua shambulizi la Kwanza litakuaa newyork city palepale,kumbe kaenda kupiga waarabu wenzie.....atakayeweza mtetemesha muamerika ni Yule atakayeweza piga bomu ndani ya ardhi ya amerika Siyo huko pembeni pembeni! Kaka Vita awamu hii hamuwez pigania ardhi yao basi hesabuni maumivu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani usa kamuua kamanda suleiman ndani ya tehran? Tumia akili japo kidogo basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama naangalia series ya 24 au Designated Survivor ile!
Wamarekani wakitaka kitu wanatumia akili kubwa wana mtengeneza mtu wa kuanzisha choko choko, kisha huyo mtu anashambulia wamarekani au mali zao na wao wanaenda kuwalisha mzuka raia wa Marekani wana idhinisha uvamizi.

Wanasema unachokozwa makusudi wapate sababu na wewe unakubali kuchokozeka kirahisi.

Kinacho endelea hapo ni uharibifu mkubwa huku biashara kubwa za silaha, mafuta na kandarasi za ujenzi zinaendelea.
 
US/NATO Must Stop This Nonsense
Iran must stop this nonsense.

Iran inafadhili magaidi wa Hezbollah
Iran inafadhili magaidi ndani ya Revolutionery Guard
Iran ina mawazo mgando ya kuifuta Israel - hii ni laana na hawatafanikiwa

Ayatollah aache kuwajaza Wairan matumaini hewa. Marekani watakapojibu watakaoumia ni hao wamama na vitoto vinavyoimba Death to America kwa kufata mkumbo.
US Imevamia na Kuua IRAQ
US Imevamia Na Kuua LIBYA
US Imevamia Na Kuua Afghanistan


US Inatakiwa Ielewe Mashariki Yakati Sio Kwake Arudi Kwake Nasafar Hii Akianzisha Vita Atakimbia Mashariki Yakati Lazma na ISRAEL Lazma Ahame Mashariki Yakati...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiuliza mzee wa wigi anasemaje kule twitter hapo nakua nabishana na wewe kitu gani boss?

dodge
No ! Ipo hivi nilikuuliza kuhusu source ya post yako kuhusu casualties ya shambulio hili.sasa badala ya kujibu kwa kunipa source na Mimi nikapitie utaniambia Trump anasemaje tweeter, sasa huoni unabadilisha maudhui ya mada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo makombora mengine yamepiga katika maeneo ya watu huko Iraq..lakini hakuna madhara makubwa yaliyotokea(source na video ninayo)
Hao aljazeera hata wachukue habari toka hapa kenya ila lazma wahakikishe habari inakua verified kabla yakuirusha hewani


Aljazeera chombo kikubwa kabisa chahabari DUNIANI Sio Kama Tv1

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Machuma Chuma Ya US Hamna Kitu Mzee Ama Unasemaje Hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sputnik chombo chenu pendwa ndio kimeeleza mmerusha makombora zaidi ya 30 lkn Cha ajabu ni 15 tu ndo yaliyofanikiwa kuingia Iraq na Kati ya hayo pia mengi hayakufikia target

Sent using Jamii Forums mobile app
US = PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
Akili nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom