Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Kwani usa kamuua kamanda suleiman ndani ya tehran? Tumia akili japo kidogo basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama naangalia series ya 24 au Designated Survivor ile!
Wamarekani wakitaka kitu wanatumia akili kubwa wana mtengeneza mtu wa kuanzisha choko choko, kisha huyo mtu anashambulia wamarekani au mali zao na wao wanaenda kuwalisha mzuka raia wa Marekani wana idhinisha uvamizi.

Wanasema unachokozwa makusudi wapate sababu na wewe unakubali kuchokozeka kirahisi.

Kinacho endelea hapo ni uharibifu mkubwa huku biashara kubwa za silaha, mafuta na kandarasi za ujenzi zinaendelea.
 
US/NATO Must Stop This Nonsense US Imevamia na Kuua IRAQ
US Imevamia Na Kuua LIBYA
US Imevamia Na Kuua Afghanistan


US Inatakiwa Ielewe Mashariki Yakati Sio Kwake Arudi Kwake Nasafar Hii Akianzisha Vita Atakimbia Mashariki Yakati Lazma na ISRAEL Lazma Ahame Mashariki Yakati...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiuliza mzee wa wigi anasemaje kule twitter hapo nakua nabishana na wewe kitu gani boss?

dodge
No ! Ipo hivi nilikuuliza kuhusu source ya post yako kuhusu casualties ya shambulio hili.sasa badala ya kujibu kwa kunipa source na Mimi nikapitie utaniambia Trump anasemaje tweeter, sasa huoni unabadilisha maudhui ya mada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hayo makombora mengine yamepiga katika maeneo ya watu huko Iraq..lakini hakuna madhara makubwa yaliyotokea(source na video ninayo)
Hao aljazeera hata wachukue habari toka hapa kenya ila lazma wahakikishe habari inakua verified kabla yakuirusha hewani


Aljazeera chombo kikubwa kabisa chahabari DUNIANI Sio Kama Tv1

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Machuma Chuma Ya US Hamna Kitu Mzee Ama Unasemaje Hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sputnik chombo chenu pendwa ndio kimeeleza mmerusha makombora zaidi ya 30 lkn Cha ajabu ni 15 tu ndo yaliyofanikiwa kuingia Iraq na Kati ya hayo pia mengi hayakufikia target

Sent using Jamii Forums mobile app
US = PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…