Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sina hakika kama ni patritic ama zile nyengne ila kuna mifumo ya ulinzi yap...Una uhakika kuwa katika kambi hizo kulikuwa na patriotic missile system?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia kutoka kwenye chanzo kipi?Nasikia walio uawa ni kati ya 35 au 80 na majeruhi ni zaidi ya 200.
Unaamini katika Maandiko?Nyinyi watu wa maandiko kila siku sijawahi kuwaelewaga,Mnaishi kwenye assumption sana hasa kuhusu mambo ya kiuhalisia
Ok!Sina hakika kama ni patritic ama zile nyengne ila kuna mifumo ya ulinzi yap...
Sent using Jamii Forums mobile app
iran nae anajua sehemu zote nyeti hizo kambi ni rasha rasha iran atapiga visima vyote vya marekani kuanzia iraq, quwait na saudiaNavyoona ataamza kupiga sehemu nyeti kwakuwa juzi tuu kasema anajua maeneo yote ya irani anäyoringia
kwa virginia sawa lakini pale ikulu sijui kama tumepishana masaa naneSaivi Marekani ndio saa kumi na mbili asubuhi kunakucha maana sisi tupo mbele yao kwa masaa manane.
ANAFANYAJE APA HUYU MJEDA....!?
View attachment 1315825
Unaonaje waondoke wote mbaki nyinyi tu wenyewe hapa Duniani........!!!!????MK254, Sasa umefika wakati wakristo (USA&Uk) wawatwange hawa waajemi wanaovaa vilemba,ili tupandishe bendeera ya myahudi uajemi yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani Mkuu........Kiukweli kabisa unachoki comment hakieleweki kabisa.Serikali Ya US Yakifisadi Sana Inatumia Gharama Napesa Nyingi Mnoo Zawalipa Kodi Kutengeneza Mifumo Yahovyo Yakijeshi
Shubaamit zao [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app