Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Na haitakuwa mara ya mwanzo kuaibika na si ajabu katika mambo ya kivita.Mwenyezi Mungu humpa nguvu aliyedhaifu kumpiga Mbabe ili kila mmoja aone.
 
US ni bwege au sio?
Computer unayotumia kaunda muiran ambaye ni mjanja?
Simu unayotumia kuwatukana kaunda muiran?
.
Shule huko umesoma kwa vitabu vya kiada na ziada kutoka Iran?
Marekani akiacha kuleta misaada Iran atakupa nini wewe?
.
JF hii unayotamba imeundwa kwa languages za Iran?
 
It's on, Iran gonna be lit up like the fourth of July.
Usitegemee chochote, US watakaa kimya. Iran wao wamefanya kama wajibu maana si unajua watu wao akili zao zilivyo, bila ka ushahidi wa kulipiza kisasi pangechimbika, ila kwa sasa ukijumlisha 1+56 death ndani ya Irani ==makombora 13 yasiyokuwa na madhara hapo wa iran wapo poa kabisa tena kabisa. Kwa US no casuality no kuishambulia tena Iran
 
Ni kwel hii vita ni ya Iran +wananchi Wa Iran tofauti ilivyokua Iraq, kwa hiyo marekani kuweza kuweka military base itakua ngum Sana ,kwan raia wa Iran wataendelea kua na chuki na marekani milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam

Naona wakisema kuna zero casualties ni kama marekani inaleta propaganda za kivita ili wasionekane si chochote kwenye equipment. Lakini najua lazima kuna wanajeshi wamepotea.
 
Mkuu kuwa rational.. Kambi hizo za marekani walikuwepo pia Wairaq,na nchi mbali mbali za NATO sasa kwa utashi wako iweje wote wasife wafe wamarekani tu.(yaani wasife Wairaki,Wacanada,Waingereza,Wajerumani nk)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUJITEGEMEE,
Hakuna madhara , Iran wamewah Sana kustrike back mda ambao kambi zote za marekan zpo under high alert , Bora hata wamtafute mtu mmoja mhimu wa Marekan wamuue kuliko kufanya ujinga wanaofanya ....
Iran wametoa ofa mwenye kupata kichwa cha Trump 🤣🤣
 
Lete credible source(neutral)!

Maana hata mashambulizi ya Marekani tunaona vyombo mbali mbali vya kimagharibi na mashariki vikiripoti casualties (like Soleiman killing and airstrike onPMU )
Naam

Naona wakisema kuna zero casualties ni kama marekani inaleta propaganda za kivita ili wasionekane si chochote kwenye equipment. Lakini najua lazima kuna wanajeshi wamepotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I hate the idiots-Trump and Britons for their support.
 
Ni taifa,sio mim,..effect kwangu ni approximately 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…