kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.
Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..
Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.
Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.
Maeneo ya kambi kuna siri nyingi ndio maama uwa inawekwa marufuku kupiga picha, alafu ktk vita kuna propaganda piaSasa unadhani ni nini kinacho fanya wanawakataza waandishi wa habari kufika eneo tukio ili watuoneshe kilocho tokea?
Wameuliwa 80 kwa taarifa yakoHata Iraq kuvamiwa na marekani tulisema propaganda,ishu ni kwamba trump aliweka redline kwamba raia wa Marekani akiuawa watajibu kijeshi,na habari ni kwamba mpaka sasa hakuna raia wa marekani aliyeuawa wala kujeruhiwa kutokana na shambulio la Iran,na kwa taarifa hiyo Trump kasema so far,so good!
Kwa hiyo vita ya vietnam wamarekani walikuwa wanaua tu wavietnam huku wavietnam wakiwa hawaui wamarekani.Unataka kusema wavieynam walikuwa wameka tu.Hata hao wafuasibwa kasim suleiman wao unataka kuniambia hawajamwaga damu za watu.Acha ushabiki mbuzi.Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).
Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k
Watu wa Iran hawako upande wa Iran kwenye huu mzozo?Iran is committing suicide!!
ILI ushinde Vita YEYOTE lazima KWANZA UCHUMI WAKO UHIMILI VITA!
PILI WATU WAKO WAKO UPANDE WAKO!
SILAHA ZAKO NI NZURI ZAIDI ZA ADUI YAKO!
SIFA AMBAZO IRAN HANA!
MUDA UTASEMA KAMA US ATAAMUA KUPIGA VITUO VYA MAFUTA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mim najiuliza huu ujasiri kautoa wapi ila nilicho na uhakika nacho ni kwamba Iran atapigwa vita rasmi, kashavuka ile red line aliyoweka Trump, amekua real threat kwa US, yajao sio hayafurahishiIla mkuu naomba uniambie huu ujasiri Iran kaupata wapi maana pamoja na Mimi kuwa upande wa Iran lakini sikutegemea kama Iran angeishambulia moja kwa moja marekani nilitegemea angewatumia mawakara wake.
Mi nafata shungi la 5.8Unajua ukiwa kiwanjani unacheki mechi mfano wa simba na Yanga; mtu akipigwa goli tu unashangaa upande wa pili kimyaaa... Jamaa wakirudisha tu goli shangwe upande wa pili.
Sasa juzi kapigwa mtu pipo zimeshangilia kinyama.
Leo tena jamaa karudisha goli upande wa pili kimyaa naona wanapanga kikosi namna ya kurudisha goli.
Kazi kwenu team Wairani weusi na team wamarekani weusi wote waishio mbagala na Sinza kwa bibi nyau.
Mimi ngoja nibeti
View attachment 1316010
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameuliwa 80,kama unataka kujua Trump anadanganya,anasema everything is well,lakini wakati huohuo anasema wanafanya tathmini ya casualtiesHapo hamna aliyesalimika
Handcap ya Iran ina ngapi?Unajua ukiwa kiwanjani unacheki mechi mfano wa simba na Yanga; mtu akipigwa goli tu unashangaa upande wa pili kimyaaa... Jamaa wakirudisha tu goli shangwe upande wa pili.
Sasa juzi kapigwa mtu pipo zimeshangilia kinyama.
Leo tena jamaa karudisha goli upande wa pili kimyaa naona wanapanga kikosi namna ya kurudisha goli.
Kazi kwenu team Wairani weusi na team wamarekani weusi wote waishio mbagala na Sinza kwa bibi nyau.
Mimi ngoja nibeti
View attachment 1316010
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao 80 watakuwa wa tandale maybe.πππWameuliwa 80 kwa taarifa yako
Sawa mkuu, ngoja tuendelee kumsubiria mzee baba maana naona yupo bize sana hapo White House ndani ya Oval office.Kufuatia mashambulizi yalifanywa na Iran katika kambi za Marekani huko Iraq.
Tutarajie hatua madhubuti kuchukuliwa dhidi ya Iran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya miaka 20 ya ofa ya kutaka kichwa cha Salman Rushdie wa Aya za Shetwain bado hawajafanikiwa na wanajua kwa hakika kuwa yupo Uingereza sembuse kichwa cha Rais wa Marekani!Iran wametoa ofa mwenye kupata kichwa cha Trump [emoji1787][emoji1787]
Subiri Ione kipigo ChaoππTuliwaambia Hawa waajemi hawapendagi ujinga
Kwani wameshapata black box hadi useme kuwa ndege ilianguka kwa sababu zake binafsi!??Huruma ya nn kwan ndege c ime angukwa kwasabbu zake bnafsi mkuu ama ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeanza kumpa Earthquake kwanzaAyyatollah amenena live ,pigo litajibiwa na pigo la nguvu zaidi! Kumekucha 2020.,