Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mmeanza utapeli wenu
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.

Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..

Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.

Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ukiwa kiwanjani unacheki mechi mfano wa simba na Yanga; mtu akipigwa goli tu unashangaa upande wa pili kimyaaa... Jamaa wakirudisha tu goli shangwe upande wa pili.

Sasa juzi kapigwa mtu pipo zimeshangilia kinyama.
Leo tena jamaa karudisha goli upande wa pili kimyaa naona wanapanga kikosi namna ya kurudisha goli.

Kazi kwenu team Wairani weusi na team wamarekani weusi wote waishio mbagala na Sinza kwa bibi nyau.

Mimi ngoja nibeti
IMG-20200108-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Iraq kuvamiwa na marekani tulisema propaganda,ishu ni kwamba trump aliweka redline kwamba raia wa Marekani akiuawa watajibu kijeshi,na habari ni kwamba mpaka sasa hakuna raia wa marekani aliyeuawa wala kujeruhiwa kutokana na shambulio la Iran,na kwa taarifa hiyo Trump kasema so far,so good!
Wameuliwa 80 kwa taarifa yako
 
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).

Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k
Kwa hiyo vita ya vietnam wamarekani walikuwa wanaua tu wavietnam huku wavietnam wakiwa hawaui wamarekani.Unataka kusema wavieynam walikuwa wameka tu.Hata hao wafuasibwa kasim suleiman wao unataka kuniambia hawajamwaga damu za watu.Acha ushabiki mbuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran is committing suicide!!
ILI ushinde Vita YEYOTE lazima KWANZA UCHUMI WAKO UHIMILI VITA!
PILI WATU WAKO WAKO UPANDE WAKO!
SILAHA ZAKO NI NZURI ZAIDI ZA ADUI YAKO!
SIFA AMBAZO IRAN HANA!
MUDA UTASEMA KAMA US ATAAMUA KUPIGA VITUO VYA MAFUTA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa Iran hawako upande wa Iran kwenye huu mzozo?

Hujui unachoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu naomba uniambie huu ujasiri Iran kaupata wapi maana pamoja na Mimi kuwa upande wa Iran lakini sikutegemea kama Iran angeishambulia moja kwa moja marekani nilitegemea angewatumia mawakara wake.
Hata mim najiuliza huu ujasiri kautoa wapi ila nilicho na uhakika nacho ni kwamba Iran atapigwa vita rasmi, kashavuka ile red line aliyoweka Trump, amekua real threat kwa US, yajao sio hayafurahishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ukiwa kiwanjani unacheki mechi mfano wa simba na Yanga; mtu akipigwa goli tu unashangaa upande wa pili kimyaaa... Jamaa wakirudisha tu goli shangwe upande wa pili.

Sasa juzi kapigwa mtu pipo zimeshangilia kinyama.
Leo tena jamaa karudisha goli upande wa pili kimyaa naona wanapanga kikosi namna ya kurudisha goli.

Kazi kwenu team Wairani weusi na team wamarekani weusi wote waishio mbagala na Sinza kwa bibi nyau.

Mimi ngoja nibeti
View attachment 1316010

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nafata shungi la 5.8

Handcap ya Iran ina ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom