Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Baghdad, Jan 8, IRNA – Sources have reported that a number of US warplanes are in fire after the IRGC missile attack to America's Ain Assad military base in Iraq's Al Anbar province early Wednesday morning

156878768.jpg
156878768.jpg
 
Habari ni kuwa Kuna msjeruhi wa marekani walikimbiziwa Israel,Sasa hizi tweet zinafutwa na Twitter maana kibarua Cha Trump lilikuwa hatarini.
Na ndo maana Trump katumia masaa 15 kujitokeza kuhutubia kwani alikuwa anaotea kuona reaction inavyoenda na Kama ingefahamika Kuna casualties ingemlazimu kutangaza vita
 
Kati ya wanaume wa kiislam/kiarabu,waliobaki kwa sasa duniani ni irani pekeake, hata kupiga hayo makombora 15 ni ujasiri wa hali ya juu,ukiondoa russia,china,na north korea,,hakuna mwingine anaeweza kulipa kisasi,hata kurusha risasi moja kwenye himaya ya USA. Iran imewaonya majirani zake wote,ambao wamemkubalia usa kuweka ,,base,, zake,kuwa watakuwa target ya kwanza kushambuliwa.

SWALI: Je, mataifa ya kiarabu yako tayari,raia wake wafe,majengo marefu yaporomoshwe na makombora ya iran,amani ichafuke na uchume uyumbe,kwa ajili ya maslahi ya USA? ili hali huko usa raia wake wanastarehe hawana bugdha yeyote. Beira Boy,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo ugumu ulipo sasa! Mawigi anakuna wigi badala akune tako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona umekomaa na utabiri mara siku za mwisho. Haya mambo mnayapata wapi kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wa kwanza ulikuwa wa babeli enzi za Nebuchadnezzar... So isome daniel yote utaona kipindi hicho nabii Daniel alikua mateka muisrael akiwa utumwani babeli....kupitia hiyo alimtabiria Nebuchadnezzar mwisho wa ufalme wake wa babeli,kuja kwa ufalme wa waamedi na waajemi,kuja kwa wagiriki na kisha ufalme wa Roma....ukitoka hapo utapata mwanga ndo uje kusoma ufunuo,,,ameiendeleza kuanzia ufalme wa Roma utakapokufa na utakavyokuja kurudi,marekani..na new world order....in short pray holy spirit to guide you unapovisoma hivyo vitabu...
 
Back
Top Bottom