Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Baghdad, Jan 8, IRNA – Sources have reported that a number of US warplanes are in fire after the IRGC missile attack to America's Ain Assad military base in Iraq's Al Anbar province early Wednesday morning

 
Habari ni kuwa Kuna msjeruhi wa marekani walikimbiziwa Israel,Sasa hizi tweet zinafutwa na Twitter maana kibarua Cha Trump lilikuwa hatarini.
Na ndo maana Trump katumia masaa 15 kujitokeza kuhutubia kwani alikuwa anaotea kuona reaction inavyoenda na Kama ingefahamika Kuna casualties ingemlazimu kutangaza vita
 
Hapa ndipo ugumu ulipo sasa! Mawigi anakuna wigi badala akune tako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona umekomaa na utabiri mara siku za mwisho. Haya mambo mnayapata wapi kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wa kwanza ulikuwa wa babeli enzi za Nebuchadnezzar... So isome daniel yote utaona kipindi hicho nabii Daniel alikua mateka muisrael akiwa utumwani babeli....kupitia hiyo alimtabiria Nebuchadnezzar mwisho wa ufalme wake wa babeli,kuja kwa ufalme wa waamedi na waajemi,kuja kwa wagiriki na kisha ufalme wa Roma....ukitoka hapo utapata mwanga ndo uje kusoma ufunuo,,,ameiendeleza kuanzia ufalme wa Roma utakapokufa na utakavyokuja kurudi,marekani..na new world order....in short pray holy spirit to guide you unapovisoma hivyo vitabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…