Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil


Mwanajeshi wa US kaivujisha wenzake walivyo sambaratishwa.

Iran ni moto lazima mawigi ale kona [emoji23] [emoji51] 😎
Acha propaganda.. Taarifa za vyombo vyote vya habari vya kuaminika duniani vinasema hakuna vifo vilivyotokea ..iyo kambi kulikuwa na wanajeshi wa Iraq,US,UK,Canada na German iweje wafe wa US tu na si wengine wakati walikuwa katika kambi moja..hebu nenda RT(pro Iran) uone kiongozi wa Kijeshi wa Iran nini anasema.

Acha propaganda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How the mighty have fallen!

I am talking about Iraq.

Yaani majirani wanageuza sebule yako uwanja wao wa ndondi?
 
Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
mbona marekani haijafanya chochote
 
mbona marekani haijafanya chochote
Wanasema kwa Israeli: Tulia, harakaharaka haina baraka . . . . Kwa sasa bado ni mchezo kiasi. Iran inatisha kila mwaka kuangamiza Israeli yote (mara 1-3), Israeli inatisha kubomoa vituo vya nyuklia, na bila kutisha na makelele makubwa wanamwua hapa jenerali fulani, hapa mwanasayansi wa mambo ya nyuklia, pale kuna mlipuko kwenye kituo cha kijeshi penye uvumi wa utafiti wa mabomu, na miaka 2 iliyopita walichukua nusu tani hati za siri kwenye ghala ya kijeshi iliyolindwa vibaya na kuzitangaza kama kopi kwenye intaneti . . . Mchezo, ila mchezo hatari pande zote mbili.
 
Makobazi mnachokitafuta mtakipata.
 
Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
Naona mwaka watatu sasa unaenda wa nne hujafika tu huko kubaya unakoenda
Iran taifa teule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…