Kibuje
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 292
- 286
Hilo sio swali mkuu! Ni utabiri wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio swali mkuu! Ni utabiri wangu.
BBC ulitegemea iseme vingine?BBC wameripoti wazi kabisa kutokuwepo majeruhi ni bahati tu ya wamarekani na siyo kama Iran hakutaka kuua wamarekani. Kimsingi alitaka kuwauwa. Kilichotokea masaa kama mawili kabla hawajarusha makombora Iran walimwambia PM wa Irak kuwa watapiga na PM wa Iraq akawajulisha wa USA nao hivyo askari wote wakakimbilia kwenye bunker. Kimsingi walijiokoa kabla ya makombora kurushwa.
Unawaza udini tuMK254, Sasa umefika wakati wakristo (USA&Uk) wawatwange hawa waajemi wanaovaa vilemba,ili tupandishe bendeera ya myahudi uajemi yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nmemshangaa eti bbc wamesema!.
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).
Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k
Bbc si bimdogo wa USA
Atatokea wapiYesu karibu anarudi
Sasaivi umesimama na nani
Kwa nini BBC hawakuonyesha hili hapa!? kama ana jibu tumsikilize.Hata mi nmemshangaa eti bbc wamesema!.
Yaan hata yangemwagwa maji tu lazima yangewapata wamarekani sembuse mibomu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aiseeeView attachment 1317599
US amesema yupo teyari kwa Mazungumzo yasiyo na Masharti kumaliza mzozo.
Kiufupi: US hayupo teyari kupigana na Iran.
Narudia tena: Iran sio under dog na huwezi kuifananisha na Iraq, Syria, Libya au Kuwait
Sawa Mkuu nimekupata vyema.Hilo sio swali mkuu! Ni utabiri wangu.
Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.
Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
[Marekani wakishinda watasafa wakipigwa watasafa...uchumi wa China UK.USSR Korea Japan utarise in geometric progressions.... Pia vikundi vingi vya ugaidi vtaipga USA toka upande zote za dunia ...zingatia waarabu ni wazee wa jihad MTU yupo tayr kujitoa mhanga ili kutmiza azma yake ...poor amerika wataibuka hakna new bin laden.... Usisahau pia Afghanistan ,Qatar ..Pakistan ztashambuliwa kama ztasappot jeshi LA America LA ardhin kwan Iran itapga huko na sio USA ...huko watajitoa mhanga tu
Hatuendi pabaya , USA anajua anapigana na wenye nguvu kupita yeye Putin,na China, na Korea siyo Iran! atapotezea tu, km alivo fanya Sudan.Tunakwenda pabaya