Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

BBC wameripoti wazi kabisa kutokuwepo majeruhi ni bahati tu ya wamarekani na siyo kama Iran hakutaka kuua wamarekani. Kimsingi alitaka kuwauwa. Kilichotokea masaa kama mawili kabla hawajarusha makombora Iran walimwambia PM wa Irak kuwa watapiga na PM wa Iraq akawajulisha wa USA nao hivyo askari wote wakakimbilia kwenye bunker. Kimsingi walijiokoa kabla ya makombora kurushwa.
BBC ulitegemea iseme vingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli naunga mkono hoja .
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).

Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Iran: State TV shows preparation of missiles ahead of strike on US Iraq base

Iranian state TV has released footage purportedly showing preparations ahead of Tehran’s missile attack on al-Asad Airbase housing US forces in Iraq on Wednesday. Footage shows warehouses housing the missiles in an undisclosed location as well as launch preparations by Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) officers.
 
imageedit_1_5578598713.jpg

US amesema yupo teyari kwa Mazungumzo yasiyo na Masharti kumaliza mzozo.
Kiufupi: US hayupo teyari kupigana na Iran.
Narudia tena: Iran sio under dog na huwezi kuifananisha na Iraq, Syria, Libya au Kuwait
 
Halafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.

Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
[Marekani wakishinda watasafa wakipigwa watasafa...uchumi wa China UK.USSR Korea Japan utarise in geometric progressions.... Pia vikundi vingi vya ugaidi vtaipga USA toka upande zote za dunia ...zingatia waarabu ni wazee wa jihad MTU yupo tayr kujitoa mhanga ili kutmiza azma yake ...poor amerika wataibuka hakna new bin laden.... Usisahau pia Afghanistan ,Qatar ..Pakistan ztashambuliwa kama ztasappot jeshi LA America LA ardhin kwan Iran itapga huko na sio USA ...huko watajitoa mhanga tu
 
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona akili zinawarudi baada ya kichapo BREAKING: The House passed a war powers resolution that limits President Trump's ability to wage war in Iran. It blocks U.S. military force against Iran without Congress's approval or declaration of war. AJ+ on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nakuamini sana wewe! unaogopa nini sasa, namimi nipo? wacha zipigwe tukapate kazi huko bana!
 
Back
Top Bottom