Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Ktk Daniel kuna kuanguka kwa marekani Wala sio kuinuka kwa Iran. Amini kwamba marekani anaenda kuanguka muda si mrefu. Utatokea utawala mwingine wa Dunia ambao hautadumu kabisa. Marekani ni mtawala wa mwisho kama taifa. Refer ndoto ya mfalme ya sanamu ya kuchonga. Jiwe lisilotengenezwa kwa kazi ya mikono likaipiga sanamu nayo ikavunjika vipandevipande. Hata mahali pake hapakuonekana Tena!

Acha uwongo!
Marekanim itabaki Super power hadi mwisho wa nyakati
 
Kwan chombo kilichotoa taarifa ni cha US, kwan huko hakuna watu walioshuhudia wakatoa taarifa za vifo? Kuna vyombo vingi tu mashariki ya kati kwann havijataja watu waliokufa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mahali palipopigwa ni enclosed,kwa hiyo sio rahisi watu wa nje kujua kilichotokea ndani.Naweza pia kusema the place is out of bounds for ordinary people kwa maana ya civilians.

Naomba ukumbuke pia kwamba ndio chombo kilichotoa taarifa sio cha Marekani,lakini kime-report taarifa iliyotolewa na Wamarekani,which might not be authentic.Do not forget that the Americans are liars to the bone,so you can never trust them for anything.

Soma taarifa ifuatayo mkuu.Taarifa hii inaonyesha wazi kwamba wamarekani hawako tayari kutoa taarifa yeyote and this is understandable. Hawakutegemea kwamba any nation on the surface of the earth could rise up against them.

**US officials have so far declined to release any information about the damage to their bases or casualties inflicted by the missile strikes.

The White House canceled a formal address to the Americans Tuesday night. Reacting to the attack in a Twitter post, President Donald Trump claimed "All is well." He said an assessment of casualties and damage from the strikes was underway and that he would make a statement on Wednesday morning
.*

Updates:
Report: Damage from Iran strikes 'much greater' than US admits
Monday, 13 January 2020 7:23 PM [ Last Update: Monday, 13 January 2020 8:16 PM ]

US Rep. Ilhan Omar (D-MN) (L) talks with Speaker of the House Nancy Pelosi (D-CA) during a rally with fellow Democrats before voting on H.R. 1, or the People Act, on the East Steps of the US Capitol on March 08, 2019 in Washington, DC. (AFP photo)

This January 8, 2020 satellite image released by Planet Labs Inc. reportedly shows damage to the Ain al-Asad US airbase in western Iraq, after being hit by missiles from Iran. (By AFP)

A report by a correspondent for Danish TV 2 who has interviewed Danish soldiers positioned at Iraq’s Ain al-Assad airbase, which was the target of a retaliatory attack from Iran against US forces, shows that the damage done to the base has been “much greater” than the US officials acknowledge.
The report cites Danish sergeant John and other Danish soldiers as making the comment in an interview after the US military base in the western Iraqi province of Anbar was targeted by Iran’s retaliatory strikes.
“Suddenly, the first wave came, that’s what I call it. Nine rockets at barely a ton each. It cannot be described. I’ve never experienced anything like it, and I hope to never come to it again,” said the Danish sergeant, who was in a bunker along with his other comrades at the time of the strikes.
The first strikes were so severe that we were sure we were going to a golden desert and nothing would be left. We were really surprised that everything hadn’t fallen on top of our heads. I would estimate that the nearest rocket hit 300 yards from us, and as we walked around afterwards, there were halves of helicopters, and there were holes so big that you could park a van in them,” the sergeant added.Sergeant John went on to say that the damage was “actually much greater than the US admitted, with even helicopters being destroyed and not just several buildings damaged and hitting open territory in the camp.

Updates:
US military has now admitted that 11 US troops were wounded in Iranian missile attack despite earlier denials
Friday, 17 January 2020 7:27 AM [ Last Update: Friday, 17 January 2020 8:17 AM ]

US Rep. Ilhan Omar (D-MN) (L) talks with Speaker of the House Nancy Pelosi (D-CA) during a rally with fellow Democrats before voting on H.R. 1, or the People Act, on the East Steps of the US Capitol on March 08, 2019 in Washington, DC. (AFP photo)

A picture taken on January 13, 2020 during a press tour shows a view of the damage at the Ain al-Asad military airbase housing US and other foreign troops in the western Iraqi province of Anbar. (Photo by AFP)
The United States military has comfirmed that 11 of its troops were wounded in an Iranian retaliatory missile attack last week despite Washington's initial claim denying casualties.

The Ain al-Assad airbase is a large complex located about 180 kilometers west of the Iraqi capital of Baghdad, housing about 1,500 US forces and members of the US-led coalition that purport to fight the Daesh Takfiri terrorist group.
On January 8, the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) fired volleys of ballistic missiles at Ain al-Assad, and another outpost in Erbil, the capital of the semi-autonomous Iraqi Kurdistan.
 
Mkuu mahali palipopigwa ni enclosed,kwa hiyo sio rahisi watu wa nje kujua kilichotokea ndani.Naweza pia kusema the place is out of bounds for ordinary people kwa maana ya civilians.

Naomba ukumbuke pia kwamba ndio chombo kilichotoa taarifa sio cha Marekani,lakini kime-report taarifa iliyotolewa na Wamarekani,which might not be authentic.Do not forget that the Americans are liars to the bone,so you can never trust them for anything.
Be straight!Taarifa sahihi ni ipi?Na ni sababu zipi za msingi zinazokufanya wewe binafsi uamini unachokiamini tofauti na vyanzo credible vya habari?leta credible information and not hypothetical analysis based on unfounded claims.
 
Missile of the Nation,
Isitoshe USA [emoji631] imeanza kuwarudisha raia wa USA wenye asili ya Iran, na asitegemee kuungwa mkono na wairan kwenye democracy, wamekuwa pamoja zaidi na hii vita labda USA ifanye jivu Iran yote, maana wairan wako tayari kwa lolote na wako pamoja,
 
US kaomba poo, Anataka amani! Marekani anamjua Irani kuliko unavyodhani, hataki vita naye, anajua madhara hayakuwa madogo kwake ata kama atashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
US imefanya assessment.Kadri muda uendavyo ndivyo ukweli unajitokeza.US sasa wanasema wameupata ujumbe,kwamba Iran ilidhamiria kufanya mashambulizi bila kuleta madhara makubwa.Kwa hiyo ni kama wanasema uwezo wa kuumizwa wao ulikuwepo,maana ile kambi haina defensive system na mashambulizi yalifanyika usiku,muda ambao hauna movement za watu,wengi wakiwa wamejificha kwenye mahandaki kulala.

Pia Iran iliijulisha ofisi ya waziri mkuu wa Iraq kwamba itafanya shambulizi,hivyo US ilishapata taarifa 3 hrs before kwamba kuna shambulizi linakuja.Wakajipanga kuminimize casualties. Na bado makombora aliyotumia Iran hayakuwa reliable with precision, ilhali wanayo yenye uwezo wa kuleta uharibifu mkubwa. Hii inatuma message gani?Kwamba Iran anamuonya tu mmarekani ila hataki vita?

au anampumbaza kuonyesha kama hana nia au uwezo ili US ijisahau wakati kuna shambulizi zito linaandaliwa na Iran litakaloleta madhara makubwa kwa US na likipiga mahali muafaka kuleta hayo madhara?au ni kweli Iran haina uwezo mkubwa kijeshi kupigana vita rasmi ya ana kwa ana?(siamini hili)US inatafakari.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Leo kuna issue mpya huko,wanasema Iran ilikusudia kufanya mashambulizi bila kuua mtu.Ni either inatoa onyo kwa mmarekani,au iliombwa sana na Iraq ili isilete tatizo kubwa kwa kuwaua wamarekani (sababu Iraq ndio muathirika mkubwa,vita inapiganwa kwenye ardhi yake),au inampumbaza mmarekani ajisahau ili baadae imuandalie shambulizi zito lenye maafa makubwa.

Au ni kweli Iran haiko vizuri kwenye vita rasmi ya ana kwa ana na hivyo hawataki kutumia nguvu hapo,waelekeze nguvu zao kwenye hujuma?!wamefanya hivyo kuwatuliza tu Wairan sababu mkuu wa majeshi kauawa na wasingeweza kukaa kimya?!

All in all US inakubali ingeweza kuumizwa ila Iran haikukusudia kuumiza.Sababu gani?Ngoja tuone mwenendo.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Ila marekani bhana asa kwa nini wamemuuwa general mageneral wao angeuliwa ingikuaje ivi si duniani nzima inge nyooshea kidole iran ila kwa kua ni iran kafanyiwa basi nchi kama norway, japan, na nyingine wanajitetea na kusema wanakusanya raia zao dah hela shkamoo
 
Naona watu wengi washabiki wa Iran wanashabikia wasicho kijua .

Iran walikua wanasherekea mwaka mpya kwa kurusha tufani hewani,Ni sawa kabsa na kurusha mawe juu ya paa at least hata warushe mawe kwenye madirisha wanaweza vunja vioo.Na wanacho kifanya Iran ni kubweka tu.Eti wameua wanajeshi 80 wa Marekani, habari za chekechea wanampa nani? Iran wakae chini wafyate mkia kuepusha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki maandazi,ingekuwa syria kafanya mashambulizi kwny base ya USA angekuwa kashambuliwa na USA na Israel kitambo,ila kwa sbb wanamjua muajemi hana masihara Israel kimya na USA anaimba taarabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu North Korea itaangushwa na USA (United States of Africa), hatimaye Africa kutawala dunia milele.
 
US imefanya assessment.Kadri muda uendavyo ndivyo ukweli unajitokeza.US sasa wanasema wameupata ujumbe,kwamba Iran ilidhamiria kufanya mashambulizi bila kuleta madhara makubwa.Kwa hiyo ni kama wanasema uwezo wa kuumizwa wao ulikuwepo,maana ile kambi haina defensive system na mashambulizi yalifanyika usiku,muda ambao hauna movement za watu,wengi wakiwa wamejificha kwenye mahandaki kulala.

Pia Iran iliijulisha ofisi ya waziri mkuu wa Iraq kwamba itafanya shambulizi,hivyo US ilishapata taarifa 3 hrs before kwamba kuna shambulizi linakuja.Wakajipanga kuminimize casualties. Na bado makombora aliyotumia Iran hayakuwa reliable with precision, ilhali wanayo yenye uwezo wa kuleta uharibifu mkubwa. Hii inatuma message gani?Kwamba Iran anamuonya tu mmarekani ila hataki vita?

au anampumbaza kuonyesha kama hana nia au uwezo ili US ijisahau wakati kuna shambulizi zito linaandaliwa na Iran litakaloleta madhara makubwa kwa US na likipiga mahali muafaka kuleta hayo madhara?au ni kweli Iran haina uwezo mkubwa kijeshi kupigana vita rasmi ya ana kwa ana?(siamini hili)US inatafakari.
BBC wameripoti wazi kabisa kutokuwepo majeruhi ni bahati tu ya wamarekani na siyo kama Iran hakutaka kuua wamarekani. Kimsingi alitaka kuwauwa. Kilichotokea masaa kama mawili kabla hawajarusha makombora Iran walimwambia PM wa Irak kuwa watapiga na PM wa Iraq akawajulisha wa USA nao hivyo askari wote wakakimbilia kwenye bunker. Kimsingi walijiokoa kabla ya makombora kurushwa.
 
Be straight!Taarifa sahihi ni ipi?Na ni sababu zipi za msingi zinazokufanya wewe binafsi uamini unachokiamini tofauti na vyanzo credible vya habari?leta credible information and not hypothetical analysis based on unfounded claims.
American puppet, certainly yes,kwa hiyo sina haja ya ku-argue na wewe kwa issue ambayo ni obvious.Endeleeni kufagilia lunatics,brainsick, crazy, daft, demented, disordered, distraught, dotty, insane, mad, maniacs, mentally ill, moonstruck, unbalanced, bookers, cracked, daffy, gaga, loony,sadists and psychopathic people,sisi wengine tunajua who they are.
 
Back
Top Bottom