Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mkuu huamini Kama muajemi Kafanya shambulizi?Hapo tuko sawa sasa. no time for talking.
Israel alikana uhusika na mauaji ya GeneralKama Israel atahusika kwa namna yoyote ile, hamna haja ya kumuomba Mungu. Msimamo wake unaeleweka.
Bado tu hajazungumza mkuuDaah vita rasmi sasa, trump atazungumza na press asubuhi hii, nafikiri anatangaza vita, Mungu haepushe mbali hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ya abiria au ya kivita!?Taarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbaya
Hapa ume andika utamuHalafu vita dhidi ya Iran havitakua vya kawaida maana kule mamilioni Wa-Iran wenyewe ni full mzuka na mihemko, hivho Marekani hatopigana akiwa na nia ya kuwakomboa dhidi ya utawala, kwa kifupi hapeleki 'demokrasia' kama afavyo kwenye mataifa mengine, hii itakua vita baina ya Marekani na Iran, tofauti na ile ya hapo Iraq ambayo ilikua baina ya Marekani na Saddam.
Tegemea mamilioni wa Iran kujiunga kwenye ugomvi wakielekea Iraq kuliko wanajeshi wa Marekani, kwa hivyo firepower atakayotumia Marekani ni 'carpet bombing', yajayo yamekaa ovyoo kishenzi, hawa wanataka kutuharibia kadunia ketu haka.
Marekani anasubiri apate kuungwa mkono na umoja wa mataifa....hawezi kuingia kwenye stage ya pili bila wazungu wenzie kumpa go aheadSio kwamba aliachiwa apige aharib ili wapate sabab zaid ya kumtandika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo kambi zote uko zina bunkers (mahandaki) chini ya ardhi ya wanajeshi kuingia endapo watashambuliwa na mabomu kama leo na yana radar kudetect makombora mapema ili alarm ipigwe watu waingie kwenye bunkers wasipate madhara, na ndio kilichotokeaHivi kuna kambi isiyo na mwanajeshi? baso hizo sio kambi ni Godown za kuhifadhia korosho! Unahani marekani atakubali kusema wanajeshi wake wameuawa??? Siasa nyingi usikute wameuawa ila wanaficha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watabaki kutunguae ndege ambazo zinaongozwa kwa remote na drones tu....Yaani Mimi Iran nilipoona amepandisha bendera nyekundu nilijua shambulizi la Kwanza litakuaa newyork city palepale,kumbe kaenda kupiga waarabu wenzie.....atakayeweza mtetemesha muamerika ni Yule atakayeweza piga bomu ndani ya ardhi ya amerika Siyo huko pembeni pembeni! Kaka Vita awamu hii hamuwez pigania ardhi yao basi hesabuni maumivu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Elungata ni bwana vita na ni senior officer katika IRGUnamjua elungata unajua cheo chake
Au umeamua uropoke tu
Just respect some people in here they are more than what you may think
Sent using Jamii Forums mobile app
Speculation tu, haya ni matukio mawili tofauti labda kwa sababu yametokea same day. Ndege hyo ya Ukraine imeanguka muda mrefu umepita baada ya Iran kufanya attacks. Ndege imeanguka near Tehran, mashambulizi kwenda Iraq yamefanyika kutokea south....... it doesnt make sense Iran warushe kombora zao kuelekea mji mkuu.Taarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbaya