Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Daah safi sana hio,kwa tukio la leo nime confirm pale middle east hakuna wa kumtisha Iran.

dodge


Mbona kuna taarifa kuwa iran wamepiga off~target..

Nasikia wamepiga makontena ya korosho huko.
IMG_20200108_091104.jpg
 
Ulisikia kwamba ulisikia ..yani iyo new bwana midevu waache kui shobokea washoboke na off road Rocket[emoji573][emoji573]


Habari za kusikia changanya na zako
Sina uhakika,maana usiku ndege za marekani zilinyanyuka kuelekea Iran,na Trump alikuwa ahutubie taifa lake usiku huohuo,ghafla Trump akaahirisha hotuba,
Nikasikia Kuna ndege ya marekani imetunguliwa karibu na bandar Abbas,
Mida ya saa Tisa za usiku,now sijui kuliendaje maana Trump mpaka Sasa Yuko kimya,wanadai no casualties Bado wanafanya assessment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28] FaizaFoxy bibi naniii emu njoo bhana ime kuaje uyu bwana ame cheleweshwa kuzikwa. kulingana na ile dini ya wavaa kobazi ..au umaarufu tatzo
Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,

Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeni na hayo maandiko. Utakuja kuficha uso haya yakipita na hakuna kitu cha kurudi Yesu, nenda pole pole, ili angalau ujue na kurudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom