Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Rais wa merekani atoa tamko zidi ya Irani
82043992_477052209881217_4038389538501556003_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran walivyokuwa wanamzika Qassim Soleimani alichungulia kaburi, kwahiyo wewe huwezi kujua kifo ni nini mpaka nawewe uchungulie kaburi.
 
Na aliyejibu post ya mwoga yuko zake pale kwa mfuga mbwa akinywa zake alikasusu huku akifanyiwa pedicure&manicure.
wabongo bhana..
anae andika haya yupo nyuma keypads, na anatumia jina fake ili kumkwepa jiwe na vijana wake wa green guards.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Ingekuwa Iran ndo kashambulia kambi na base za Israeli sasa hivi tungekuwa tushaona moto ukiwaka huko mashariki ya kati

Lakin America lazima kala kona hana uwezo kabisa wa kuijibu Iran ni muoga sana

Wale mashabiki wa America kaeni mkijua kabisa kuwa America hatojibu zaidi atatafuta visingio tu kuwa bunge limemuzuia Trump asiingie vitani

America ni waoga sana

Ni mara mia uishabikie Burundi lakini siyo America utaumia sana

Stay tuned

We are together

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe missles zikienda kulipua inabidi ziwe attached na camera ili ziweze kuona waliokufa kwenye tukio husika sio?

Kama US wana technology hio itakua wametisha sana.
Mbona drone za US ilipomwua Jenerali america waliclaim wenyewe wamehusika kwanini Iran isiseme wameua wangapi,poor technology hujui hata umeua wangapi ndo utakuja kupambana na US?

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Ishu ya kumtoa madarakani tayari imeshasahaulika

Jr[emoji769]
Kabisa , linapokuja suala la kumpiga muarabu wamarekani wanaungana sana na Trump ili kujenga Imani zaidi atapeleka kichapo kizito sana ambacho kila mmarekani atamuona shujaa.
 
Beira Boy ni kweli muiran kapigia mpira ugokoni.
Miongoni mwa udhaifu ulioonekana waziwazi ni baadhi ya makombora aliyoyavurumisha muiran hayakulipuka.
Literally anafanya majaribio ya silaha vitani.
Daah!
 
Wapigane,tena wapigane sana,tushangilie,tena tushangilie kwa sauti kubwa na kuongeza sauti,maana dunia haina watu tena,vimebaki viatu,tena viatu vya kuvali chooni,nasema chooni na siyo msalani.
Wapigane,haja ya mataifa makubwa ni kuangamiza dunia,maandiko ya vitabu yanatimia.
Atakaedhani kwamba ipo siku shetani atatubu dhambi zake,basi ameingia choo cha kike wakati yeye ni mwanaume.nasema tena ameingia choo cha jeshi ihali yeye ni raia.
Dunia haihitaji amani tena kwani thamani ya amani haionekani,wapigane.
 
IRAN waoga hakuna walichofanya wangerusha Rocket mbili uko New York City au Washington DC ndiyo ningewaona wamefanya la maana.
 
[emoji28][emoji28] FaizaFoxy bibi naniii emu njoo bhana ime kuaje uyu bwana ame cheleweshwa kuzikwa. kulingana na ile dini ya wavaa kobazi ..au umaarufu tatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na heshima kidogo unapoongelea dini za wenzako. Kejeli hazisaidii kujenga.

Huo ushetani wako peleka kwengineko.
 
Back
Top Bottom