Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Haisaidiii hata watambuliwe na Majini yao pamoja na Allah bado tu watapigwa sana. Yaani na kuloga na elimu ya kitabu mnaita bado aisee shule muhimu jamani.Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Mkuu umehama mada rudi kwenye reli, kwani wewe una uelewa kiliko bunge la Spain au Norway? Tatizo lenu mnaongonzwa kwa mihemko sio akili.Haisaidiii hata watambuliwe na Majini yao pamoja na Allah bado tu watapigwa sana. Yaani na kuloga na elimu ya kitabu mnaita bado aisee shule muhimu jamani.
Hiyo ni hatua nzuri.Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔
Nyerere na Arafat ni Marafiki wakubwa 😂Jambo zuri lafaa kuungwa mkono na wapenda amani wote. Asante nchi yangu Tanzania kwa kutambua taifa la palestina tangu mwanzoni.
Usiingize raia wengi kwa ujinga wenu wa maarifa wa ninyi wachache.Haijalishi! Raia wengi tunaunga mkono vita dhidi ya magaidi hamas
Na wewe unahangaika kumjibu unaona kabisa mtu anaandika kama kalewa!?Mkuu umehama mada rudi kwenye reli, kwani wewe una uelewa kiliko bunge la Spain au Norway? Tatizo lenu mnaongonzwa kwa mihemko sio akili.
Norway ndio nchi mpatanishi wa ule mkataba wa Oslo.Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Halafu kuna wajinga wanakwambia Norway ni taifa dogo halina athari yeyote kidiplomasia.Norway ndio nchi mpatanishi wa ule mkataba wa Oslo.
Hivyo Norway wachukua jukumu la kutambua kuwa Israeli imekiuka kila sehemu ya ule mkataba.
Wewe unataka watambue au unapinga?Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔
Pia yule mpatanishi badaye aliuawa na Israel kwenye mazingira tatanishi, hapa wanacho lenga ni two state solution ili amani ya dunia tention zipungue.Norway ndio nchi mpatanishi wa ule mkataba wa Oslo.
Hivyo Norway wachukua jukumu la kutambua kuwa Israeli imekiuka kila sehemu ya ule mkataba.
Bendera ya jamaica inafanana na nchi gani🤣🤣Mbona unawasema Jamaica wa Mbali? sema siyo kama Walokole wa Tanganyika.
mwaka 1948 kila mtu alipew ardhi yake ila waarab wakalikataa taifa lao wao wenyewe wakidai wanataka wabakie pekee yao ndo waunde nchi , leo limewalamba wanarudi kwenye maamuz ya mwaka 1948Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
kwan nan alianza vuruga maamuz ya mwaka 1948 kama sio hao waarabu ?Pia yule mpatanishi badaye aliuawa na Israel kwenye mazingira tatanishi, hapa wanacho lenga ni two state solution ili amani ya dunia tention zipungue.
huo ni msimamo wa ulaya tangu mwaka 1948 waislam huwa akili zinawatoka sana , mmesahau kuwa wazungu waligawanya nchi kuwa mataifa mawili ila nyinyi waarab ndo mlikataaMkuu umehama mada rudi kwenye reli, kwani wewe una uelewa kiliko bunge la Spain au Norway? Tatizo lenu mnaongonzwa kwa mihemko sio akili.
Mkuu hii hoja imebase kiimani, political, geographical ama kitu ganiHaisaidiii hata watambuliwe na Majini yao pamoja na Allah bado tu watapigwa sana. Yaani na kuloga na elimu ya kitabu mnaita bado aisee shule muhimu jamani.
Politics haiendi hivokwan nan alianza vuruga maamuz ya mwaka 1948 kama sio hao waarabu ?
Norway ndo walochora zile Oslo Accords na ni rafiki mkubwa wa Israeli na urafiki wao ni wa muda mrefu.Halafu kuna wajinga wanakwambia Norway ni taifa dogo halina athari yeyote kidiplomasia.
Mkuu acha mambo ya kutugawa wa Tanzania kwa msingi wa Imani sie wote ni wa moja ..rejea kwenye mktaba wa Oslo Arafat aliupokea lakini Israel ndo kabadili gia angani na kusema haitambui nchi inao itwa palastine........huo ni msimamo wa ulaya tangu mwaka 1948 waislam huwa akili zinawatoka sana , mmesahau kuwa wazungu waligawanya nchi kuwa mataifa mawili ila nyinyi waarab ndo mlikataa