Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

Kwani hao Palestine ardhi Yao ya asili ni ipi? Ina maana kabla ya 1947 hao Palestine walikuwepo hapo Gaza??!
 
hiyo mahakama itawekewa vikwazo na USA
 
mbona huwa mnakosea majina ya mawaziri wakuu wa israel? Ni isac kweli?
 
hiyo mahakama itawekewa vikwazo na USA
Hilo ni jambo jrma pia hata ikivunjwa
Maana itainyima marekani nguvu ya kulionyeshea taifa lolote au mtu yoyote kuhusu utawala wa sheria,maana yeye siku zote anatumia mbinu hiyo na mahakama hii kukandamiza adui zake
Ilikuwaje afurahie putinj, saddam etc leo same court aseme haitendi haki na hataki kuheshimu atakosa legitimacy hiyo ndio furaha yetu wapenda haki, ndio maana washirika wake france na germany wamesema wanaheshimu maamuzi ya icc
Hii vita imesaidia kuibua mambo mengi sana mazuri kwa wapenda haki
 

Attachments

  • Screenshot_20240523-222524_Chrome.jpg
    389.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240523-165250_Instagram.jpg
    301.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240523-222610_Chrome.jpg
    436.4 KB · Views: 1
Huyo ni mlokole anayeamin Israeli sio watu wa kawaida sasa unaamzaja kumbadikisha ...mtu anaamin hata kumpa tigo myahudi ...ni BARAKA kwa mungu wao ndo maaana kila siku tukio baya la Israeli wanaamin sio la kawaida
acha kutukana we kenge
 
Waletwe tu hapo rwanda ili wamvuruge yule Tollu apunguze chokochoko zake kule Kongo, maana wakikaa miaka Mitano tu hapo Ruanda watataka iwe inchi ya kiislamu ivyo Tollu anahangaika nao na kuacha chokochoko zake kule Kongo
 
Mkuu umehama mada rudi kwenye reli, kwani wewe una uelewa kiliko bunge la Spain au Norway? Tatizo lenu mnaongonzwa kwa mihemko sio akili.
Halafu anasifia elimu wakati bado bibi yake ana jembe la mkono
Hiyo elimu yake angebuni kitu
 
Ndio walikuwepo.
Na wayahudi kabla ya 1947 walikuwepo WESTERN JERUSALEM.
Lakini tukienda kwenye historia mwenye uhalali wa kukàa pale sio hao Palestine, ni hao mayahudi ndo wanastahili kabisa ..hao Palestine waletwe hata huku Africa aina noma tu . Tutaishi nao hivo hivo kimeno meno
 
Kahamie kabisa huko kwa ndg zako we bwege. Waarabu wenyewe wanaokuona nyani we unahangaika usk na mchana kwa ajili yao. We una ugonjwa wa akili
 
Lakini tukienda kwenye historia mwenye uhalali wa kukàa pale sio hao Palestine, ni hao mayahudi ndo wanastahili kabisa ..hao Palestine waletwe hata huku Africa aina noma tu . Tutaishi nao hivo hivo kimeno meno
Kwa historia ipi!?
Ukanda wote wa Sham(kuanzia Misri mpaka Israel/Palestina) waliishi jamii hizo zote mbili,hao wapalestina kiasili ndio wafilisti.
Kama Palestina hawastahili kukaa hapo wao wametokea wapi!?
Je walitokea mitini mkuu!?
Wote wanastahili hilo eneo kihistoria.
Israel alipopadai kwake (Jerusalem) 1947 walishapewa na mipaka ikachorwa.
Sasa wao wanaitaka na Gaza kunawahusu nini!?
 
Mbona unawasema Jamaica wa Mbali? sema siyo kama Walokole wa Tanganyika.
Walokole yanawahusu nini mambo ya Israeli na Palestina?
Walokole wanapambana kuurithi ufalme wa Mbingu.
Kuwa Wana wa Mungu.
Ndio ahadi kubwa sana kuwahi kutolewa na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo aliyejitabulisha kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
Waacheni wafu wawazike wafu wao.
 
Inaonesha hata hao Palestine walihamia hapo pengine miaka mingi baadae baada ya Israel kuondoka ..kumbuka mayahudi walikuwa ni watu wa kuangaika sana duniani ..so pengine ndo maana walianzisha kampeni ya kurudi kwenye ardhi ya Babu zao ..so Palestine kupewa eneo lao ni sawa ..lakini na Israel kudai haki Yao ni sawa pia ..Cha msingi hapo maridhiano yafanyike kila mtu akubali makubaliano ya mwanzo. Japo Israel inaonekan kama anataka eneo lote
 
Kahamie kabisa huko kwa ndg zako we bwege. Waarabu wenyewe wanaokuona nyani we unahangaika usk na mchana kwa ajili yao. We una ugonjwa wa akili
Mkuu mimi nahusika je, na uko wewe neenda kwenye mada ya uzi, acha jaziba tumia akili tu tenganisha dini na siasa mkuu
 
Palestina asili yao ni waarabu.
Waarabu mkuu hawana pakutokea zaidi ya mashariki ya kati.
Wayahudi asilia wapo waliobaki hapo kabla ya hiyo miaka ya 1947.
Na kuna ugomvi mwingi uliozuka kati ya waarabu na wanaisraeli kabla hata ya vita ya kwanza ya dunia hapo Jerusalem.
Ila zionism movement ya 1948 nahisi imekuja kwa mlengwa tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…