Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Status
Not open for further replies.
Aiseee kisa pesa bidada anavumilia kuchanganywa na kishimo. Kweli Pesa sabuni ya roho
Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mambo
 
Wait a minute; huyu si mke wa mchezaji wa Burundi sijui Rwanda [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Katauti ilishapigwa shoti siku nyingi.
 
Ni kweli wameoana aisee mastaa kibao wameconfirm jomoni. [HASHTAG]#MapovuNo[/HASHTAG]
 
Hawa mod siwaelewi aisee yaan nyuz zangu wanakuwa wanazifuta bila sababu


Mimi nilitoa ule uz nikiwa na ushaid wa bongo planet ya eatv huyu kaweka huu uz hana hata ushahid na wameuacha
So ni kweli ama wanaigiza?
 
Bongo movie iliondoka na kanumba.Sasa hivi wanaigiza maisha yao.
Mwenye sura ,umbo zuri na bahati ndiye anayetoboa cyo kipaji
 
Hao ndio anaweza kuwapata bado hawajielewi, wenye akili zetu hata wake tulionao tunatamani kuwaacha kila mtu aishi kwa amani tusipunguziane miaka ya kuishi.
historia inatuonyesha kuwa na hata ndkum na Hb wanasema wanawowajua kuwa wana siraha za mangamizi na ndio anachokitaka zaidi kwahiyo dogo inawezekana si haba atakuwa ana zaidi ya pesa
 
Aiseee kisa pesa bidada anavumilia kuchanganywa na kishimo. Kweli Pesa sabuni ya roho
Pesa mama ukitaka mjini huonekane boss lady ndio inabidi mshee mpaka na makaka dada anataka kwenda ibiza na yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom