Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
15,160
Reaction score
21,676
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi irene alivyoguswa na kifo cha mzazi mwenzie.

Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya mme mtu ukishazaa nae ni zawadi tosha.

Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo busy na kupost insta, kajiremba utadhani anatoka out, nyoooo!

Staki kuongelea mambo ya Irene na kale katoto kanakomfika kwapani, maana yanaboa hata kama ni movie , ila kwa msiba huu wa mzazi mwenzie kaguswa kihisia inshort hajatutia aibu wanawake kwakweli mungu ampe wepesi, kazi ya mungu haina makosa.

Ustaa usitufanye kuwa watumwa mtu umefiwa unapaka wanja mpaka sikioni, midomo umeipodoa kama nini, saloon nywele za kichina yaani inaboa sana kugeuza misiba kama sherehe.

Iren kuanzia mavazi muonekano kweli ukimtizama ni mfiwa. Pole Irene
RIP Ndikumana.

Note: Hiyo video mimi sijui kuiweka hapa ila ipo YouTube ,ambae anaweza kuiweka hapa naomba anisaidie na mwenye picha naomba aziweke hapa.

Video imeandikwa kama nilivyoandika title ya Uzi.
 
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi iren alivyoguswa na kifo cha Mzazi mwenzie.

Hata kama ni kwa unafiki ila kaonesha niini maana ya Mme.MTU ukishazaa nae ni zawadi tosha.

Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio Yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo busy na kupost insta, kajiremba utadhani anatoka out, nyoooo!

Staki kuongelea mambo ya Iren na kale katoto kanakomfika kwapani, maana yanaboa hata kama ni movie , ila kwa hili la mumewe kaguswa kihisia inshort hajatutia aibu wanawake. Kwa hili mungu ampe wepesi, kazi ya mungu.haina makosa.

Ustaa usitufanye kuwa watumwa MTU umefiwa unapaka wanja mpaka sikion, midomo umeipodoa kama nn, saloon nywele za kichina yaan inaboa sana kugeuza misiba kama sherehe.

Iren kuanzia mavazi muonekano kweli ukimtizama ni mfiwa. Pole Iren
RIP Ndikumana.

Note: Hiyo video mm sijui kuileta hapa ila IPO YouTube ,ambae anaweza kuiweka hapa naomba anisaidie.na mwenye picha naomba aziweke hapa.

Video imeandikwa kama nilivyoandika title ya Uzi.

Anatafuta kiki huyo
 
Hivi ukilia ukazimia ndiyo maana kuwa umeguswa?
Wengine wanaguswa ila hata chozi hawatoi kila mtu ana style na uwezo wake wa kuhandle situation mbalimbali.
Mimi naona kama msiba haujakugusa huna haja ya kufake maana ni unafiki.
Pole Irene kwa kufiwa na mzazi mwenzio Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu.
Mengi tasemwa ila ukweli wa ndoa yenu mnaojua wewe na marehemu
 
Hajawah kumpenda kabla na baada ya ndoa sasa kinachomliza nini??au ndio machoz ya furaha hayo??anafurahia talaka ya milele mxiuuuuuu
Umejuaje?
 
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi iren alivyoguswa na kifo cha Mzazi mwenzie.

Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya Mme.MTU ukishazaa nae ni zawadi tosha.

Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio Yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo busy na kupost insta, kajiremba utadhani anatoka out, nyoooo!

Staki kuongelea mambo ya Iren na kale katoto kanakomfika kwapani, maana yanaboa hata kama ni movie , ila kwa msiba huu wa Mzazi mwenzie kaguswa kihisia inshort hajatutia aibu wanawake. Kwakweli mungu ampe wepesi, kazi ya mungu.haina makosa.

Ustaa usitufanye kuwa watumwa MTU umefiwa unapaka wanja mpaka sikion, midomo umeipodoa kama nn, saloon nywele za kichina yaan inaboa sana kugeuza misiba kama sherehe.

Iren kuanzia mavazi muonekano kweli ukimtizama ni mfiwa. Pole Iren
RIP Ndikumana.

Note: Hiyo video mm sijui kuiweka hapa ila IPO YouTube ,ambae anaweza kuiweka hapa naomba anisaidie.na mwenye picha naomba aziweke hapa.

Video imeandikwa kama nilivyoandika title ya Uzi.
wasanii mambo yao ni ya kisanii tu
 
Watanzania unafki Ndio Jadi YETU. Sion alichokililia mpaka kuzimia Ni unafiki Angekuwa anaujua Uchungu wa mume Angekuwa naye wakati wa Sakaratul Umauti. Ndio yaleyale ya mke wa mzee Yusuph kumlilia mke mwenzake mpaka kuzimia wakati alivyokuwa Hai kutwa kurushiana vijembe Kwenye mitandao.

Bora ya Zari kuliko Huu unafiki Wa Kitanzania tulioojaaliwa watanzania wengi Tukiwa Hai hatupendani Subiri mtu afee Sasa chaaaa. Hiki alichofanya Irene ni muendelezo tu wa ile roho ya Kinafiki iliyowatawala WA Tanzania wengi.
 
Back
Top Bottom