luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi irene alivyoguswa na kifo cha mzazi mwenzie.
Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya mme mtu ukishazaa nae ni zawadi tosha.
Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo busy na kupost insta, kajiremba utadhani anatoka out, nyoooo!
Staki kuongelea mambo ya Irene na kale katoto kanakomfika kwapani, maana yanaboa hata kama ni movie , ila kwa msiba huu wa mzazi mwenzie kaguswa kihisia inshort hajatutia aibu wanawake kwakweli mungu ampe wepesi, kazi ya mungu haina makosa.
Ustaa usitufanye kuwa watumwa mtu umefiwa unapaka wanja mpaka sikioni, midomo umeipodoa kama nini, saloon nywele za kichina yaani inaboa sana kugeuza misiba kama sherehe.
Iren kuanzia mavazi muonekano kweli ukimtizama ni mfiwa. Pole Irene
RIP Ndikumana.
Note: Hiyo video mimi sijui kuiweka hapa ila ipo YouTube ,ambae anaweza kuiweka hapa naomba anisaidie na mwenye picha naomba aziweke hapa.
Video imeandikwa kama nilivyoandika title ya Uzi.