Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Huyu kalia sana hadi kazimia, yule kapost sana picha akiwa msibani, mwisho wa siku hakuna aliyefanikisha mumewe kurejea uhai. Ukifa Umekufa
 
Hata ningekua mie ningeenda kushangaa. Nilishuhudia msiba mmoja wa wajaluo yaan ni full mziki ule sebene kabisa pombe zinyweka kwa fujo siku tatu wakisubiria kusafirisha mwili.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanasherehekea kuzika?!!dunia ina visa Hui kaaah
 
Tena wajaluo wanaweza kaa msiba wiki mbili hadi mwezi. Style ya muziki ni kama kuonyesha huzuni na kumuaga mpendwa wao. Wangoni nao walikua hodari wa kulia ila naona saiv wamepunguza maana namba zinasomeka na koo linakauka mapema pombe uchumi hauruhusu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanasherehekea kuzika?!!dunia ina visa Hui kaaah
 
Ungetuwekea na hiyo video ingependeza zaidi
 
Haswaaaaa
 
Ila binadamu tusiwe wepes wakuhukumu mtu bila kujua sababu ya msing kwa nini analia mpk kuzimia tukumbuke yule alikua mumewe then mzaz mwenzie hatuwez jua kama marehemu ndo alikua akihudumia kila kitu gharama za maisha za mtoto..mfano ada ya shule na mkiangalia maisha yalivyokua yanabana siku hz utakuta kila akifikiria gharama zote zitakua zake anazid kuchanganyikiwa mwisho presha inapanda sukar inakua juu matokeo yake anazimia ....
 
Ndiku kusomesha mtoto Feza school sidhani. Kwanza kuna post alitoa insta akilalamika uwoya kumnyima access ya kuwasiliana na mwanae. Ukitembelea account ya ndiku insta utaona mengi. Wolper alimtukana ndiku na kumdhalilisha ila uwoya kimya hata kumkanya wolper asiingilie visivyomhusu hakumkanya.
 
Mengine huwa hawayasemi kwenye mitandao inabak kuwa siri yao wanaogopa watu wasijue kila kitu .....
 
Mmh may be yes or no.

Basi angeenda msiban kama kweli walikua kwenye good terms.
Mengine huwa hawayasemi kwenye mitandao inabak kuwa siri yao wanaogopa watu wasijue kila kitu .....
 
Ninachokijua irine ni msanii, kazi yake ni usanii, bahati nzuri bongo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] maiti mpk inaomba poo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…