Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Anatafuta kiki huyo[/QUOTEatafute kiki kwenye. msiba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta kiki huyo[/QUOTEatafute kiki kwenye. msiba...
Serious numby nna asili ya huko huko na tunazika kule
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanasherehekea kuzika?!!dunia ina visa Hui kaaahHata ningekua mie ningeenda kushangaa. Nilishuhudia msiba mmoja wa wajaluo yaan ni full mziki ule sebene kabisa pombe zinyweka kwa fujo siku tatu wakisubiria kusafirisha mwili.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanasherehekea kuzika?!!dunia ina visa Hui kaaah
Ungetuwekea na hiyo video ingependeza zaidiWakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi iren alivyoguswa na kifo cha Mzazi mwenzie.
Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya Mme.MTU ukishazaa nae ni zawadi tosha.
Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio Yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo busy na kupost insta, kajiremba utadhani anatoka out, nyoooo!
Staki kuongelea mambo ya Iren na kale katoto kanakomfika kwapani, maana yanaboa hata kama ni movie , ila kwa msiba huu wa Mzazi mwenzie kaguswa kihisia inshort hajatutia aibu wanawake. Kwakweli mungu ampe wepesi, kazi ya mungu.haina makosa.
Ustaa usitufanye kuwa watumwa MTU umefiwa unapaka wanja mpaka sikion, midomo umeipodoa kama nn, saloon nywele za kichina yaan inaboa sana kugeuza misiba kama sherehe.
Iren kuanzia mavazi muonekano kweli ukimtizama ni mfiwa. Pole Iren
RIP Ndikumana.
Note: Hiyo video mm sijui kuiweka hapa ila IPO YouTube ,ambae anaweza kuiweka hapa naomba anisaidie.na mwenye picha naomba aziweke hapa.
Video imeandikwa kama nilivyoandika title ya Uzi.
Haswaaaaatukiachana na yoooote jamani...kifo ni kifo tu..yaani hata ukisikia adui yako amefariki lazima roho ubinadamu wa kawaida itakujia,huzuni,simanzi na huruma vitakujia.
Irene kuachana au kutompenda Ndiku haimaanishi kuwa na Maisha ya Ndiku hakuyapenda pia au uhai wake ulikuwa tatizo kwake...pia tukumbuke vyovyote iwavyo hawa watu walishawahi kushare breath na pia walishawahi kuwa na happy n memorable moments sometimes somewhere....so, kama binadamu wa kawaida hakuna la kushangaza na wala sio unafiki kwa Irene kuguswa na kifo cha mzazi mwenzake.
RIP Ndiku Hamad!
Ila binadamu tusiwe wepes wakuhukumu mtu bila kujua sababu ya msing kwa nini analia mpk kuzimia tukumbuke yule alikua mumewe then mzaz mwenzie hatuwez jua kama marehemu ndo alikua akihudumia kila kitu gharama za maisha za mtoto..mfano ada ya shule na mkiangalia maisha yalivyokua yanabana siku hz utakuta kila akifikiria gharama zote zitakua zake anazid kuchanganyikiwa mwisho presha inapanda sukar inakua juu matokeo yake anazimia ....
Mengine huwa hawayasemi kwenye mitandao inabak kuwa siri yao wanaogopa watu wasijue kila kitu .....Ndiku kusomesha mtoto Feza school sidhani. Kwanza kuna post alitoa insta akilalamika uwoya kumnyima access ya kuwasiliana na mwanae. Ukitembelea account ya ndiku insta utaona mengi. Wolper alimtukana ndiku na kumdhalilisha ila uwoya kimya hata kumkanya wolper asiingilie visivyomhusu hakumkanya.
Ok poaMm sijui kuitoa you tube ndo maana nikaomba MTU aiweke hapa
Mengine huwa hawayasemi kwenye mitandao inabak kuwa siri yao wanaogopa watu wasijue kila kitu .....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] maiti mpk inaomba pooTena wajaluo wanaweza kaa msiba wiki mbili hadi mwezi. Style ya muziki ni kama kuonyesha huzuni na kumuaga mpendwa wao. Wangoni nao walikua hodari wa kulia ila naona saiv wamepunguza maana namba zinasomeka na koo linakauka mapema pombe uchumi hauruhusu