Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Huyo muigizaji mkuu.....Hapo itakuwa alikuwa anafanyia mazoezi scripts ya movie mpya
 
Bora ya zarizebosslady ila hawa wanaolia mpk na kuzimia hapana asee unaweza ukapitiliziako uko uko na ww asee
 
Mmmhhh labda nna roho mbaya mwenzeni mzazi mwenzangu akifa nalia na kuzimia kwa lipi? Nikiwiwa ntaenda mazishi siku ya kuzika tu na endapo mtoto ni mdogo hawezi kwenda mwenyewe.
Otherwise mi sio mfiwa kabisa ni msiba tu wa kawaida na machozi yanaweza shuka bahati mbaya kama nnavyozika majirani.
 
Madam we single mother?
 
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"
Au anaelia huku amelikumbatia jeneza ikiwezekana kudumbukia kabisa kaburini na kuomba afukiwe pamoja na marehemu
 
Mimi namfikiria janjaro mwana wa ngarenaro tu. Sijui alianza kupepea na kukimbiza wife hospital?
 
Zari umemtaja wa nini!!!
Ulikuwa na Zari 24/7?

Wivu.com
 
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"
Binamu tuwache wanyaki tafwadhali. Utasikia tu "ejoooooooooooooooooo"
Kabisaa yaani umepatiaa

Tukipeleka misiba kijijini basi utaskia wanasema twenden tukaangalie vilio

Yaani wao vile kupiga mikelele kwao ndo umeguswa.Mtu anajipigiza ht chozi halitoki[emoji1] [emoji1]
 
Siyajui ya moyoni mwake. Ila hakuna kitu kinachoumiza kama kuwa na ugomvi na mtu afu akafariki kabla hamjapatana, unabaki na "ninge"..... inaumiza sanaaaaaa, unatamani mtu anyanyuke hata mara moja umuombe mpatane ila ndo haiwezekani kabisa. Tujifunze kusameheana na kuishi kwa amani
 
Ha ha ha gelofriend, kuna clip moja ya wakuvwanga (mama imma) na masanja, yani mama kumpokea tu mwanae from safari kafurahi hadi kalala chini ha ha ha wanyaki bana
Haha yani sisi ukisafiri hata wiki ukirudi ni mvua ya machozi. Ushawahi kutuona stendi tukiwa tumemsindikiza mtu?, basi likianza kuondoka ndo tunalikimbiza kutoa maagizo na salamu. Shikamoo wanyaki
 
Pole sanaa irene
Ni pole ya nini unayompa Irene? tuache kufuru kwa Mungu.

I think this is good news for Irene kwa sasa hana kiwingu tena cha kumghasighasi.

Kuna wanawake ni mfano wa shetani hapa duniani kama ulikuwa unapata shida ya kujuwa shetani anafanaje.

Mwingine anaitwa Grace Mugabe amesababisha mtu badala ya kuja kuitwa baba wa Taifa sasa anakwenda kuwa mkimbizi Afrika kusini na he will die very soon kwa stress from that bitch Grace.
 
Hongera kwa bandiko hili lililotulia na kusheheni hekima na busara.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…