Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Bora ya zarizebosslady ila hawa wanaolia mpk na kuzimia hapana asee unaweza ukapitiliziako uko uko na ww asee
 
Mmmhhh labda nna roho mbaya mwenzeni mzazi mwenzangu akifa nalia na kuzimia kwa lipi? Nikiwiwa ntaenda mazishi siku ya kuzika tu na endapo mtoto ni mdogo hawezi kwenda mwenyewe.
Otherwise mi sio mfiwa kabisa ni msiba tu wa kawaida na machozi yanaweza shuka bahati mbaya kama nnavyozika majirani.
 
Madam we single mother?
 
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"
Au anaelia huku amelikumbatia jeneza ikiwezekana kudumbukia kabisa kaburini na kuomba afukiwe pamoja na marehemu
 
Mimi namfikiria janjaro mwana wa ngarenaro tu. Sijui alianza kupepea na kukimbiza wife hospital?
 
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"
Binamu tuwache wanyaki tafwadhali. Utasikia tu "ejoooooooooooooooooo"
Kabisaa yaani umepatiaa

Tukipeleka misiba kijijini basi utaskia wanasema twenden tukaangalie vilio

Yaani wao vile kupiga mikelele kwao ndo umeguswa.Mtu anajipigiza ht chozi halitoki[emoji1] [emoji1]
 
Siyajui ya moyoni mwake. Ila hakuna kitu kinachoumiza kama kuwa na ugomvi na mtu afu akafariki kabla hamjapatana, unabaki na "ninge"..... inaumiza sanaaaaaa, unatamani mtu anyanyuke hata mara moja umuombe mpatane ila ndo haiwezekani kabisa. Tujifunze kusameheana na kuishi kwa amani
 
Ha ha ha gelofriend, kuna clip moja ya wakuvwanga (mama imma) na masanja, yani mama kumpokea tu mwanae from safari kafurahi hadi kalala chini ha ha ha wanyaki bana
Haha yani sisi ukisafiri hata wiki ukirudi ni mvua ya machozi. Ushawahi kutuona stendi tukiwa tumemsindikiza mtu?, basi likianza kuondoka ndo tunalikimbiza kutoa maagizo na salamu. Shikamoo wanyaki
 
Pole sanaa irene
Ni pole ya nini unayompa Irene? tuache kufuru kwa Mungu.

I think this is good news for Irene kwa sasa hana kiwingu tena cha kumghasighasi.

Kuna wanawake ni mfano wa shetani hapa duniani kama ulikuwa unapata shida ya kujuwa shetani anafanaje.

Mwingine anaitwa Grace Mugabe amesababisha mtu badala ya kuja kuitwa baba wa Taifa sasa anakwenda kuwa mkimbizi Afrika kusini na he will die very soon kwa stress from that bitch Grace.
 
Hongera kwa bandiko hili lililotulia na kusheheni hekima na busara.

Watanzania unafki Ndio Jadi YETU. Sion alichokililia mpaka kuzimia Ni unafiki Angekuwa anaujua Uchungu wa mume Angekuwa naye wakati wa Sakaratul Umauti. Ndio yaleyale ya mke wa mzee Yusuph kumlilia mke mwenzake mpaka kuzimia wakati alivyokuwa Hai kutwa kurushiana vijembe Kwenye mitandao.

Bora ya Zari kuliko Huu unafiki Wa Kitanzania tulioojaaliwa watanzania wengi Tukiwa Hai hatupendani Subiri mtu afee Sasa chaaaa. Hiki alichofanya Irene ni muendelezo tu wa ile roho ya Kinafiki iliyowatawala WA Tanzania wengi.
 
Back
Top Bottom