Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Status
Not open for further replies.

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.

Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei ghali zaidi.



Yaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume [emoji15]
 
Uwoya akiwa vacation dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa wcb.
Pesa yake matumizi yake. ni sawa kabisa yupo sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom