Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Status
Not open for further replies.
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.

Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei ghali zaidi. View attachment 1864405

Yaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume[emoji15]
Kwani gharama ya kukodi kwa siku moja ni Sawa na gharama kununua?,
 
.
IMG-20210722-WA0074.jpg


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata wahalifu wanabebwa kwenye Porsche, Lamborghini na hata Bentley continental na Audi R8 hizo ni baadhi tu ya gari za polisi Dubai
Ila hakuna mwenye hizo gari akabezwa eti hata wao wamepanda kwani kupanda na kumiliki ni vitu viwili tofauti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom