jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
ndio wa kwanza kumiliki tz?? unaishi mkoa gani mkuu simiyu??? mbona watu wanasukuma sana hizo mzee sema syo kila atayenunua atajitangaza.Leo ni ijumaa na jioni hii unaweza kwenda daraja la sarenda au kakae bara bara ya coco beach hope utakuja kunishukuruHaijalishi, ya Mond bado ni og na ndio bei yake hiyo bilion kadhaa na ndiye wa kwanza kuimiliki tz...hivyo hajabugi.