Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Status
Not open for further replies.
Mwanzo mlikuja na hoja dhaifu "Gari feki" mka badili gia "Gari Used" sasa hivi una leta habari za Uwoya kupanda RR uku ukiponda gari ya mondi kua n cheaper compared na hilo alilo panda uwoya

sasa mm nasema hivi 'kijana tafuta hela zako acha mambo ya kufatilia fatilia maisha ya wanaume wenzako kesho kesho kutwa utakua na familia halafu bado utakua na pigo za kudiscuss wanaume wenzio tuta kuja kukugongea mkeo'
 
Kama vile unavyofatilia maisha ya mleta mada eehh? Tusipangiane cha kufatilia
 
Mbona wewe mkeo anagongwa bila hata wewe kuongelea wanaume wenzio?
 
Hana lolote. Ni lijinga sana hilo lidada. Anakula tu pensheni ya baba ake!
Hiyo pensheni ya huyo baba yake hana kazi nayo?
Yaani miaka yote tokea ameanza kula bata Dubai huwa anakula pensheni ya baba yake na haiishi?
Una uthibitisho wa ulichoandika?
Je hilo li dada na lijinga kwa kwenda Dubai au lina ujinga mwingine?
 
unataka kusema tunapopanda ndege kusafiri tayari tunakua tumelingana na wanaozimiliki? kweli kila mtu ana akili bt tofauti yetu ni matumizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee!! Ana tako teke teke kama faluda 😋😋😋
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…