jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
ndio wa kwanza kumiliki tz?? unaishi mkoa gani mkuu simiyu??? mbona watu wanasukuma sana hizo mzee sema syo kila atayenunua atajitangaza.Leo ni ijumaa na jioni hii unaweza kwenda daraja la sarenda au kakae bara bara ya coco beach hope utakuja kunishukuruHaijalishi, ya Mond bado ni og na ndio bei yake hiyo bilion kadhaa na ndiye wa kwanza kuimiliki tz...hivyo hajabugi.
Sijakata tamaa ya kukutana nae, yaani kitu lainiii kama maini vile!! [emoji2305][emoji2305][emoji2305] Walai nabata ushungu [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Labda kaanza kwani tabia zinaganda.. Nachojua alikuwa hatoiMbona wana wote waliopita ninaofahamiana nao wanasema huo ndio mchezo wake pendwa?
[emoji23] [emoji23] Tatizo unamuona kwenye Tv sina cha eleza zaidi nachofahamuKaa kimya kwa usiyoyajua kijana
Loool!!li mama wewe una mi avatar km upupu?? sasa ndoo umejipost au!!! aaaah!! wewe mama punguza mbwembwe sasa mitaa hiyo hapo hapo si sawa tu na Mlimni kwetu bana!! aaaah!! ndo tuone matawi au......bado sana mama!Punguza chuki utashusha immunity ukipata covid walete😂
Acha kuongea vitu ambavyo huvijui huyo demu ana mpunga wake kuna mtasha anamsapoti ingawa nayeye yupo goodHana lolote. Ni lijinga sana hilo lidada. Anakula tu pensheni ya baba ake!
Nimeishia kusoma nilipoona Ghost ina bei kubwa kuliko cullinan Black badge 2021 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei ghali zaidi. View attachment 1864405
Yaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume[emoji15]
Mwl uyajue yawanafunzi inakutosha haya mtaani yatakutesaHuyu ana misheni gani hapa mjini[emoji15]
Sijakata tamaa ya kukutana nae, yaani kitu lainiii kama maini vile!! [emoji2305][emoji2305][emoji2305] Walai nabata ushungu [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
[emoji23] [emoji23] Tatizo unamuona kwenye Tv sina cha eleza zaidi nachofahamu
acha ufala wewe, nishapanda ndege lakini uwezo wa kuinunua sinaUwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei ghali zaidi. View attachment 1864405
Yaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume[emoji15]
Unatuchanganya mara RR mara kaenda kudanga na buziYaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume
Usikute hawa wanalala na kuoga pamoja, masta uchwara wa bongo ni kichefuchefu kweli. Mfano huyu Irene ana ustaa gani hapa Bongo?Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei ghali zaidi.
View attachment 1864405
Yaani dada unaenda kudanga na buzi lako Dubai unaenda na mwanao unamfundisha nini mtoto wako wa kiume [emoji15]
Waliaminishwa na Da' Mange kwamba US Cadillac si lolote si chochote, na inatumika kama Uber tu... yaani it's nothing but just a US Version of Passo or Vitz or maybe IST bila kuwaambia ukweli kwamba kuna high-end cars nyingi tu zinazotumika kama Luxury Uber!Kwani gari ikiwa inatoa huduma za Uber ndo inakuwaje? Ujiko unashuka?
Hata Uber zina category zake. Uber zote haziko sawa.
UberX na UberXL ni tofauti mbona!