Irene Uwoya amjibu Diamond, kapanda Uber ya Rolls Royce Dubai

Status
Not open for further replies.
Biashara ya kuuza Biriani ndio biashara inyolipa zaidi hapa mjini, wadada wengi wa mjini wameushtukia huo mchezo

mrangi

Yule biriani yake yabasmati mzee .

Sahani million 4 hivi Ina vikorobwezo konki.

Nyama ya kuku,sungura ndizi mbivu juice n.k

Wanakula ma don tu ila chokambaya unaweza pewa makombo akikuonea huruma Kama yule dogo jinga.

By the hili lidada lizuri nyie ila akili zero[emoji1][emoji1787]
 

Nani anashida na akili? mkuu ukianza kutafuta akili kwa wanawake mbona utapata shida sana
 
USA kuna Uber mpaka choppper Helicopter
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…