Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
Sasa mie stress nitoe wapi? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo hapa natazama game, nasubir vini jr anifurahishe.
Haonekani leo kafichwa 🤩
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aristoteee ananiachaga hoi, sio kwa kujishaua kwa uwoyaa, yaan had uwoyaa mwenyewe kamchoka. Lol

Atakuja juta vibaya huyu dada, wee muache tyuuh.
Anajifanya Kama kupe au Luba alivyomgandaa na mnaafiki Sana Yule Kaka,Kuna kipindi alifulia alikua anamchekaga Irene nae hashtuki kwa aristoter
 
Anajifanya Kama kupe au Luba alivyomgandaa na mnaafiki Sana Yule Kaka,Kuna kipindi alifulia alikua anamchekaga Irene nae hashtuki kwa aristoter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubiri afulie kwan, ndo atashtuka, huyu uwoya ni km mwehu fulan, hajielew
 
Huyu 'tajiri' ukikutana nae ana kwa ana.. anawaka hivi hivi?
 
Kuna watu utawasikia ooh Uwoya ni wakishua kwao wako njema anaweza kuwekeza hii. kwahyo bata anazokula na chawa wake ni sababu ya pesa za nyumbani kwao?
 
Sasa wanasiasa wa kazi gani kwenye biashara? Au ndo masponsor? Sema yale huwa majinga wacha Irene ayachune
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…