Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aristoteee ananiachaga hoi, sio kwa kujishaua kwa uwoyaa, yaan had uwoyaa mwenyewe kamchoka. Lol

Atakuja juta vibaya huyu dada, wee muache tyuuh.
Anajifanya Kama kupe au Luba alivyomgandaa na mnaafiki Sana Yule Kaka,Kuna kipindi alifulia alikua anamchekaga Irene nae hashtuki kwa aristoter
 
Anajifanya Kama kupe au Luba alivyomgandaa na mnaafiki Sana Yule Kaka,Kuna kipindi alifulia alikua anamchekaga Irene nae hashtuki kwa aristoter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubiri afulie kwan, ndo atashtuka, huyu uwoya ni km mwehu fulan, hajielew
 
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!

Huyu 'tajiri' ukikutana nae ana kwa ana.. anawaka hivi hivi?
 
Kuna watu utawasikia ooh Uwoya ni wakishua kwao wako njema anaweza kuwekeza hii. kwahyo bata anazokula na chawa wake ni sababu ya pesa za nyumbani kwao?
 
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!

Sasa wanasiasa wa kazi gani kwenye biashara? Au ndo masponsor? Sema yale huwa majinga wacha Irene ayachune
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom