Inawezekana Kanisa Katoliki linaona mbali! Hizo sadaka wakichukua wao zinajenga shule, zahanati, visima vya maji, kuboresha miundo mbinu....
Akichukua Mwamposa zinaenda wapi?,
Usisahau hata kuwa mkatoliki hulazimishwi. Kama hawawezi kufata mafundisho ya kanisa wanalojinasibu nalo bas waachane nalo.Huu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Kama wakienda huko wanapokea uponyaji, watakuwa wanakosea sana,
Kuna story moja ndani ya biblia ipo very interesting, inafanana sana na wanachofanya hao mapadre wakatoliki,
Yohana 9: 16...., nakazia mstari wa 22 na 25
Waache wafuate imani wanayoona inawasaidia maishani mwao!!
wSio kwa katoriki. Kwetu RC ni Bora ,wabaki waumin 10 na padre m1 kulkoa waumin 1000 na padre 10 wasio-jielewa.Nyakati hizi waumini wanabembelezwa sana maana makanisa ni mengi unaweza ukaenda kusali kanisa lolote tu ila katoliki mapato yatapungua
Tangu lini RC ikabembeleza mtu anayekiuka kiapo cha imani yake, eti kisa mapato?Nyakati hizi waumini wanabembelezwa sana maana makanisa ni mengi unaweza ukaenda kusali kanisa lolote tu ila katoliki mapato yatapungua
Mjomba kuponywa kwa m2 ni imani.RC kanisa kuuubwa ila hawana nguvu za MUNGU. Wao ni porojo tu hata uwapelekee mgonjwa wa Mafia HAWAWEZI kumuombea.
Wanasubiri uumwe, uzidiwe wakupe sala ya mwisho kama PENGO alivyomfanyia Magufuli 17/03/2021.
YAANI WANAVAA MAMISALABA MAKUBWA ILA UPAKO ZERO.
ACHENI WIVU.
ulishwahi kushudia hizo vitu au pengine ulijiunga pia?Maji ya madimbwi mnayooga huko kwenu na mawese mnayopikia nani kayapitisha ?
Yote hii ni katika ile hali ya kutojitambua akiliMbona RC wanamuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu wana maana gani?
Na ile Rozali inammaana gani?
Watu wanataka uponyaji,zama zimebadilika Mkuu,siwezi kukaa naumwa wakati kuna Mtumishi ana suluhisho la shida yangu!!,mbona kwa Waganga tunaenda na church tunaenda vilevile."Kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha'
Mkuu TB ashakata kamba kitambo watu wameshazikaKwa kweli watanzania ni watu wasiojitambua, Mwamposa anawauzia maji na mafuta toka Israel wakati Waisrael wenyewe wana matatizo lukuki na hivyo vitu haviwasaidii hata kidogo, hivi mtu unashindwa nini kujiuliza au ni kule kuchotwa akili kama afanyavyo T.B. Joshua?
kwani wakiwazika ndo wanawapa tiketi ya kwenda peponi au???Na RC HUWA hawatanii utasikia na ukifa hatukuziki hata kama mkisafirisha hatuwapi barua ya utambulisho huko muendako.
Kwa Mungu, kila sadaka tunaambiwa tunamtolea Mungu.Inawezekana Kanisa Katoliki linaona mbali! Hizo sadaka wakichukua wao zinajenga shule, zahanati, visima vya maji, kuboresha miundo mbinu....
Akichukua Mwamposa zinaenda wapi?,
Mkuu kwani watu wanaapa kwa mungu ama kwa kanisa?Tangu lini RC ikabembeleza mtu anayekiuka kiapo cha imani yake, eti kisa mapato?
Wameanza sasa hivi walikuwa wanasali kawaida tu bila kuombea deepKwani wakatoliki hawana upako?
Safi kabisa.Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
[emoji1][emoji1][emoji1]Vipi na wewe umetimuliwa nini? maana unaandika huku unahemea juujuu
Waende tu! Sasa wamesha enda wamerudi walisahau nini??Haisaidii, wakitaka kwenda kwa hiyari yao wataenda tu.
Shukuru Ipo shule na Hospitali!Zinaenda kujenga kanisa na benk zake kama mwingira alivyojenga efatha.
Kwani hizo shule za katoliki ama hospital za katoliki huwa zinatoa ofa ya kuwapa huduma bure wakatoliki waliotoa sadaka zao zikajenga?
Mfano wakienda kusoma shule ya katoliki watu wawili mmoja mkatoliki mwingine sio mkatoliki. Je ada wanalipa tofauti mkatoliki anapunguziwa kisa ametoa sadaka kujenga? Ama wote wanalipa ada sawa sawa
Tanzania inaheshimu uhuru wa kuabudu hatupaswi kuwa kama rwandaKanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
Ukiufuata na Kuuishi Ukatoliki ni sawa na chupa ya maji safi iliyo jaa hakuna nafasi tena ya kuweka uchafu[emoji123][emoji106]RC kanisa kuuubwa ila hawana nguvu za MUNGU. Wao ni porojo tu hata uwapelekee mgonjwa wa Mafia HAWAWEZI kumuombea.
Wanasubiri uumwe, uzidiwe wakupe sala ya mwisho kama PENGO alivyomfanyia Magufuli 17/03/2021.
YAANI WANAVAA MAMISALABA MAKUBWA ILA UPAKO ZERO.
ACHENI WIVU.