Inawezekana Kanisa Katoliki linaona mbali! Hizo sadaka wakichukua wao zinajenga shule, zahanati, visima vya maji, kuboresha miundo mbinu....
Akichukua Mwamposa zinaenda wapi?,
Zinaenda kujenga kanisa na benk zake kama mwingira alivyojenga efatha.
Kwani hizo shule za katoliki ama hospital za katoliki huwa zinatoa ofa ya kuwapa huduma bure wakatoliki waliotoa sadaka zao zikajenga?
Mfano wakienda kusoma shule ya katoliki watu wawili mmoja mkatoliki mwingine sio mkatoliki. Je ada wanalipa tofauti mkatoliki anapunguziwa kisa ametoa sadaka kujenga? Ama wote wanalipa ada sawa sawa