Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kwa hiyo Ulitaka wewe ndo uzitoe hizo Sakramenti??.Umesahau Mapadre wanaozaa na wake na binti za watu ndo wanaozitoa hizo sakramenti...
MUNGU si mmoja jamani, mungu wanaemwamini wao ndio mungu wa mwamposaKanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
Kweli MUNGU ni mmoja lakini Kuna( mungu /miungu.)MUNGU si mmoja jamani, mungu wanaemwamini wao ndio mungu wa mwamposa
Nani kakwambia hivyo?Kwa Mungu, kila sadaka tunaambiwa tunamtolea Mungu.
Inategemea Imani uliyoikomalia, mi niliyopo inanipa uthubutu wa kuongea hilo...Ungekuwa umekomaa kiimani usingethubutu kuuliza swali hili.
Kama kwenye watoaji kuna wahuni kwanini nisitoe?🤷♂️Kwa hiyo Ulitaka wewe ndo uzitoe hizo Sakramenti??.
Hata Freemason nao wana imani.Inategemea Imani uliyoikomalia, mi niliyopo inanipa uthubutu wa kuongea hilo...
Wewe ulitaka wapokee majini au..Eti pokea
[emoji116][emoji116]
Pokea gari
Pokea kazi
Pokea mume
Pokea mke
Pokea Ada
Kwa jina la Yeeeeeesu....[emoji1787][emoji1787]
Oh nimesahau Pokea Nyumba
Ninafikiri sababu kubwa inayowapeleka huko ni changamoto za kimaisha. Kanisa Katoliki liwahurumie tu na kama huduma wamesinzia waamke wawasaidie watu wao.Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.
Kanisa Katoliki lina haki ya kuwaelimisha waumini wake juu ya hawa Matapeli wanaouza maji, sabuni, vitambaa, chumvi, nk kwa bei ya kulangua! Eti kwa kigezo yana upako! Huu ni wizi wa asubuhi.
Mtu anadanganya kuleta utajiri kwa miujiza! Hakuna utajiri wa aina hiyo. Utajiri unatafutwa. Na hauji tu from nowhere.
Nenda sasa katoe km una ubavu huo!!!,Vinginevyo utakuwa unafanya maigizo tu.Kama kwenye watoaji kuna wahuni kwanini nisitoe?[emoji2369]
Hao watoaji wahuni wenzangu maigizo yao yanatosha kuniwakilisha..Nenda sasa katoe km una ubavu huo!!!,Vinginevyo utakuwa unafanya maigizo tu.
Hata yangu niliyopo nimeaminishwa ni Imani pia.Hata Freemason nao wana imani.
Hakuna Haki bila wajibu dogo...Wewe ulitaka wapokee majini au..
Mana hata tafsiri ya neno imani hujui.
#MaendeleoHayanaChama
Makerubi wa MwamposyaWewe ulitaka wapokee majini au..
Mana hata tafsiri ya neno imani hujui.
#MaendeleoHayanaChama
Pole yakoHao watoaji wahuni wenzangu maigizo yao yanatosha kuniwakilisha..
Hiyo ya Ufreemason??.Hata yangu niliyopo nimeaminishwa ni Imani pia.
Jinga kabisa,mtu mzima unaambiwa pokea unakubali wakati hujishughulishi,Watu weusi sijui tumerogwa na nini??.Wewe ulitaka wapokee majini au..
Mana hata tafsiri ya neno imani hujui.
#MaendeleoHayanaChama