Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Eti pokea
[emoji116][emoji116]
Pokea gari
Pokea kazi
Pokea mume
Pokea mke
Pokea Ada
Kwa jina la Yeeeeeesu....[emoji1787][emoji1787]
Oh nimesahau Pokea Nyumba
Wewe ulitaka wapokee majini au..

Mana hata tafsiri ya neno imani hujui.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.

Kanisa Katoliki lina haki ya kuwaelimisha waumini wake juu ya hawa Matapeli wanaouza maji, sabuni, vitambaa, chumvi, nk kwa bei ya kulangua! Eti kwa kigezo yana upako! Huu ni wizi wa asubuhi.

Mtu anadanganya kuleta utajiri kwa miujiza! Hakuna utajiri wa aina hiyo. Utajiri unatafutwa. Na hauji tu from nowhere.
Ninafikiri sababu kubwa inayowapeleka huko ni changamoto za kimaisha. Kanisa Katoliki liwahurumie tu na kama huduma wamesinzia waamke wawasaidie watu wao.
 
Mwishowe watampoteza huyo mwamba. Dola ya Rumi haishindwagi na jambo. Ukiwatazama kiimani zaidi unakosea sana
 
Afrika tuwaze upya haya makanisa ni ya viumbe,sis tulikuwa na utaratibu wetu wakumuomba Mungu,kama hayo makanisa yote ni ya Mungu,je Mungu atatumia kanisa gani kuhukumu waliokosea,ukija upande wa waislam nao wamegawanyika sasa huyo Mungu atahukumu namna gani maana wao hawaamini kuwa yesu ni mungu,
 
Back
Top Bottom