Waoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.Huu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,