Waoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.Huu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Point. Uhuru wa kuabudu uheshimiweHuu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Kkkkk Mbona Mwamposa HUWA anaombea watu wapate KAZI? Fatili Channel take ya Arise and Shine TV.Waoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,
RC wana wivu. Jamaa alijaza nyomi ya hatari.Mwamposa ni kama Gwajima, Antony Lusekelo, Nabii Shilla, Masanja Makandamizaji, Mc Pilipili, Bon Mwaitege, na wengineo wengi!
Ni wapigaji tu.
Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.RC wana wivu. Jamaa alijaza nyomi ya hatari.
Haaaaaa kweli mkuu na we unamfatiloaga huyu msani wa royo yuwa ya biblia maana hadi ushuhuda wanaoyoaga wengi ni niwakupangwaKkkkk Mbona Mwamposa HUWA anaombea watu wapate KAZI? Fatili Channel take ya Arise and Shine TV.
...Na Kiswahili ni Kigumu: ....'Hawataki Mposaboy APIGE Hela......' Wanataka Mposaboy ASIPIGE Hela...TABIA mbaya hawataki mposaboy asipige hela[emoji23]
Ni muhuni tu , mke wangu nilimwambia kuhusu huyo tapeli , had akanielewa,Anawakamata sana watu wajinga na akina mama! Yaani ndani ya miaka michache tu, jamaa anaogelea kwenye dimbwi la utajiri kupitia maji yake ya upako, na takataka nyingine.
Kanisa linatumia mabavu, duuuh, hapa kanisa limejichanganya Sana.Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
Stupid fishKanisa katoliki linachukia kupiteza sadaka .
Maana wanajua waumini wao wakienda kwa mwamposa wanatoa sadaka ambazo walipaswa wapokee wao katoliki
Hizi dini ni upigaji tu
Catholics are well organized and learnedWaoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,
Wao ni sawa kwa muumini kushinda kidimbwi Kula gambe hawana shida na huyo atapokea tu sakramenti , Ila mtu anaeenda kutafuta uso wa Mungu ndio shidaRC wana wivu. Jamaa alijaza nyomi ya hatari.
Mwamposa anatoza sadaka nyingi si mchezo.Kanisa katoliki linachukia kupiteza sadaka .
Maana wanajua waumini wao wakienda kwa mwamposa wanatoa sadaka ambazo walipaswa wapokee wao katoliki
Hizi dini ni upigaji tu
Wala Kanisa halijatumia mabavu kama unavyodhani. Siku zote Kanisa Katoliki lina misingi na kanuni zake. Ukikiuka, lazima uwajibishwe ipasavyo. Haijalishi wewe ni muumini wa kawaida, mtawa, Padre, au Askofu!Kanisa linatumia mabavu, duuuh, hapa kanisa limejichanganya Sana.