Kwa taifa la watu wenye kujua nini maana ya thamani ya uhai wa mwanadamu, hiyo kauli yake ilitosha kabisa kumtoa pale juu na yeye kurudi kwao huko unguja akacheze na wajukuu.Wanasema "hizi ni drama"!
Yaani kuuana ni drama, hivi was she in a good state of mind? Manake katika hali ya kawaida mtu huwezi kusema kutekana na kuuana ni drama!
Raisi wa nchi ambaye ndio tumaini la Kila mtu kwenye masuala yote ya kiusalama huwezi ukatoa kauli kama hiyo