TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Wanasema "hizi ni drama"!

Yaani kuuana ni drama, hivi was she in a good state of mind? Manake katika hali ya kawaida mtu huwezi kusema kutekana na kuuana ni drama!
Kwa taifa la watu wenye kujua nini maana ya thamani ya uhai wa mwanadamu, hiyo kauli yake ilitosha kabisa kumtoa pale juu na yeye kurudi kwao huko unguja akacheze na wajukuu.

Raisi wa nchi ambaye ndio tumaini la Kila mtu kwenye masuala yote ya kiusalama huwezi ukatoa kauli kama hiyo
 

..hata mimi nimemsikiliza yule binti sijui kama anaelewa maana ya neno kulawiti.

..kwa vyovyote vile tukio lililofanyika kwa huyu Bibi ni la kinyama na tuvihimize vyombo vya dola viwakamate waliohusika.
 
Yule comrade kawaida anasemaje kuhusu hili

Ova
 
..hata mimi nimemsikiliza yule binti sijui kama anaelewa maana ya neno kulawiti.

..kwa vyovyote vile tukio lililofanyika kwa huyu Bibi ni la kinyama na tuvihimize vyombo vya dola viwakamate waliohusika.
Laiti marehem angelikua mpinzani..
 
Huyu katibu sijui kayakanyaga kwa nani?

Ova
 
Unajitoa akili
..sijitoi akili.

..unakumbuka kejeli alizotupiwa Lissu baada ya kushambuliwa?

..hazikuwa zikitoka kwa CCM na Polisi?

..juzi si Mama kasema kifo cha Mzee Kibao ni jambo la kawaida tu?

..Mama pia si alisema risasi tatu zilitosha kumuua Lissu?
 
Laiti marehem angelikua mpinzani..

..Na nyinyi CCM ni wapumbavu sana.

..achaneni na kutumia msiba wa mwenzenu kubeza na kulahalisha vifo vya wapinzani.

..wekeni shinikizo Polisi wawakamate waliohusika.

..Jeshi la Polisi ni la kwenu, na huu ndio wakati wakuonyesha kuwa Polisi ni CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…