Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

Jokate NI mmatengo Kutoka mbinga mkoa wa Ruvuma, anahusiana na Jenister kupitia mama, mama ya jokate na Jenister NI mtu na mdogo wake (Jenister NI mngoni wa Peramiho mkoa wa Ruvuma)
 
Mzee Mbowe kwao Mbambabay
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We mzee jau sana.
Unampata mzee Mbata yupo pale Iringa? Alikuwa Chadema kindakikindaki.
Siku moja nilikutana naye hataki hata kuiskia Chadema, wamening'inia kwenye prado yake hawajampa hata ya mafuta.
 
Chongolo,Jokate,Lulandala wote Njombe na huyo Luhanjo anatokea Njombe... hao ni wachache sana kati ya wengi wanaotoka ukanda huo walioko kwenye corridors of power!! Huyu mama kashikwa masikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…